У нас вы можете посмотреть бесплатно Mbunge Twalib apongeza kuteuliwa na miradi ya William Ruto Katika KPA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mbunge wa Jomvu, Badi Twalib, amepongeza hatua ya Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari nchini (KPA), Kapteni William Ruto akisisitiza kuwa mageuzi ya kidijitali na ufunguzi wa bandari za Lamu na Shimoni ni matunda ya juhudi za Kapteni Ruto. Mbunge Twalib alisisitiza kuwa upanuzi wa Bandari ya Mombasa utafungua maelfu ya nafasi za kazi kwa vijana.Aidha, amesisitiza kuwa KPA imejitolea kufadhili mafunzo maalum kwa vijana ili wawe na ujuzi unaohitajika, huku akibainisha kuwa kuongezeka kwa trela zinazoingia bandarini kila siku tayari kumeanza kuimarisha biashara ndogondogo na kubunia ajira kwa baadhi ya wenyeji wa maeneo hayo.