• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

Mfalme Zumaridi ukweli wote hadharani , shahidi ajitokeza, aeleza ukweli wa mambo yote. скачать в хорошем качестве

Mfalme Zumaridi ukweli wote hadharani , shahidi ajitokeza, aeleza ukweli wa mambo yote. 3 года назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Mfalme Zumaridi ukweli wote hadharani , shahidi ajitokeza, aeleza ukweli wa mambo yote.
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: Mfalme Zumaridi ukweli wote hadharani , shahidi ajitokeza, aeleza ukweli wa mambo yote. в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно Mfalme Zumaridi ukweli wote hadharani , shahidi ajitokeza, aeleza ukweli wa mambo yote. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон Mfalme Zumaridi ukweli wote hadharani , shahidi ajitokeza, aeleza ukweli wa mambo yote. в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



Mfalme Zumaridi ukweli wote hadharani , shahidi ajitokeza, aeleza ukweli wa mambo yote.

Kesi ya Mfalme Zumaridi , ukweli hadharani shahidi ajitokeza, aeleza ukweli wa mambo yote. katika kesi inayomkabili mfalme zumaridi na wenzake 8, siku ya leo kesi imeendelewa kusomwa ambapo Christina Mwisongo 46, Shahid wa jamuhuri. ambaye ni Afisa ustawi wa jamii Halmashauri ya Jiji la mwanza.(kulinda na kutetea haki za watoto) ikiwa ni pamoja na kuchukua hatua stahiki juu ya kumuokoa mtoto anapokuwa katika mazingira hatarishi na kupokea amri zote za mahakama zinazohusu madai ya kesi ya watoto zinazofika mahakamani kwa kushirikiana na jeshi la polisi Akitoa ushahidi alisema kuwa "Mnamo tarehe 22.2.2022 alifika wakili Linus Mnishi akiwa na Ally Abas Shabani Baba wa mtoto SS wakiwa wameleta Amri ya mahakama kwa Afsa ustawi wa jamii ya kumchukua mtoto SS wakiwa na nakala ya hukumu ya madai ya taraka iliyofunguliwa Mahakama ya Mwanzo mkuyuni wakitaka ofisi ya ustawi wa jamii kutekeleza Amri hiyo ya kuchukua mtoto. Hivyo mkuu wake wa kazi kumuhamru kufuatilia kesi hiyo ambaye ni AFISA ustawi wa jamii wilaya. Shahidi huyu ametambua vithibitisho ambavyo ni Amri ya mahakama pamoja na Nakala ya hukumu ya Taraka Baada ya kuipokea aliandika mwasiliano ya Wakili Linus pomoja na Baba wa mtoto SS ambavyo aliandika mwenyewe kwa kalamu ya bluu Ushahidi ulipokelewa na mahakama huku upande wa utetezi wakiupokea pia bila pingamizi Hukumu ya madai ya Taraka ilisomwa mahakamani na kubaini kuwa ilitolewa 23.09.2020 kuwa mdai aliomba Taraka na hifadhi ya mtoto SS baada ya ambapo mahakama haikutoa Taraka kwa kuwa hakukuwa na ndoa na kutoa hukumu kwa hifadhi ya mtoto SS kwa Baba yake ambaye ni mdai katika kesi hiyo. Na kutoa Amri kwa ustawi wa jamii kufuatana na Askari polisi kwenda kumchukua mtoto na kumrejesha mahakamani ili akabidhiwe kwa Baba yake mzazi ikiwa. Aliambatana na Askari kwenda Nyumbani kwa Zumaridi ilikumchukua mtoto SS. wakati wa kushuka katika la polisi katika nyumba hiyo alikuja kijana na kuwaambia subirini niwafungulie geti akaingia ndani na kufunga geti hilo bila kulifungua tena. Mkuu wa msafara huo akachukua hatua ya kugonga geti hilo ili kufunguliwa bila mafanikio Askari mmoja akwaambia kuwa kuna geti lingine upande wa pili ambalo lilikuwa wazi wakabahatika kuingia. Baada ya taarifa za uchunguzi wa kijamii kuwa mtoto SS anaishi pamoja na mama yake ambaye ni Suzanna Simoni nyumban kwa Zumaridi Askari alienda na kufungua geti alilogoma kufungua kijana huyo na kuruhusu Hari la polisi kuingia ndani Baada ya kushuka katika gari la polisi kiongozi wa msafara alijitambulisha na kuutambulisha msafara wake na kuhitaji kuonana na Zumaridi ambapo walikosa ushirikiano na kuambiwa hawajui alipo na kuwafuata waimbaji walioonekana mbele yao na kuwafuata, wakawasalimia pasina kujibiwa na kuwaamuru waache kuimba wawasikilizi ndipo wakaanza kusikilizwa wakiomba kuelekezwa alipo Zumaridi ambapo walijibiwa na mwalimu wa kwaya kuwa yeye yupo kwaajili ya kufundisha wanakwaya na yeye hakuwa msemaji pale na kuwataka warudi mapokezi Baada ya kujibiwa hivyo wakazidi kwenda mbele walikuta watu wengi wanaume kwa wanawake waliovali mashati meupe na sketi na suruali nyeusi wakiwa sebuleni wakiwa wanasali kwa kushikana mikono. #zumaridi#mwanza#mahakamani Wakasimama nakusubiri wamalize kusali, baada ya muda kidogo waliaanza kuunguruma kama Simba na kunYanyuka huku wakitembea mwendo wa ajabu hali iliyowafanya wao na msafara mzima kuanza kutoka nje watu hao wakiwa na Zumaridi wakamkamata Askari mmoja aliyetajwa kwa jina la Afande James kwa kumvuta, kumkanyaga na kumpiga mateke wakiendelea kuunguruma Wakashikwa na taharuki wakamwacha Afande James ambaye aliendelea kujiokoa akafanikiwa kutoka na wote wakatoka katika lango hilo na kushindwa kutekeleza Amri ya mahakama. Huku wakifuatwa na mashambulizi na kurushiwa vitu mbalimbali vikiwemo viti wakatoka nje ya geti na gari likiwafuata kwa nyuma wakaingia ndani ya gari la polisi ambapo Baba wa mtoto SS alimwonyesha mama wa mtoto wake akiwa miongoni wa watu hao aliokuwa wakizomea. Katika tukio Hilo Shahidi aliweza kumtambua Zumaridi na Suzanna Simoni ambao walikuwepo mahakamani hapo Baada ya hapo dereva aliwasha gari na kwenda kwa mbele kidogo na kupaki pembeni kumsikiliza Afande James aliyeumizwa na kuondoka huku Afande James akidai kwenda kufungua kesi na wao kurejea kituo cha Kati Nyamagana kutoa taarifa kuwa wameshindwa kutekeleza Amri hiyo Akimhoji Shahidi huyo , Wakili wa utetezi Wakili Mutta alimuuliza kama aliieleza mahakama kuwa aliwaambia polisi kuwa ana Amri ya mahakat? Kweli Anatakiwa kuhakikisha kunakuwa na amani katika jamii. #zumaridi#mwanza#mahakama

Comments
  • 1 день назад
    "ALIWANYOOSHA SANA" ASKOFU WOLFGANG PISA Azungumza Namna Kadinali Pengo Alivyoliendesha Kanisa
    Опубликовано: 1 день назад
  • СУПЕР ФИЛЬМ ПРИКЛЮЧЕНИЕ ПРО МЕСТЬ НА ДИКОМ ЗАПАДЕ | КИНО, КОТОРОЕ ЗАТЯГИВАЕТ С ПЕРВЫХ МИНУТ 1 месяц назад
    СУПЕР ФИЛЬМ ПРИКЛЮЧЕНИЕ ПРО МЕСТЬ НА ДИКОМ ЗАПАДЕ | КИНО, КОТОРОЕ ЗАТЯГИВАЕТ С ПЕРВЫХ МИНУТ
    Опубликовано: 1 месяц назад
  • ATUMIA NGUVU ZAKE KUMFUATA MFALME ZUMARIDI MAHAKAMANI 3 года назад
    ATUMIA NGUVU ZAKE KUMFUATA MFALME ZUMARIDI MAHAKAMANI
    Опубликовано: 3 года назад
  • MWANAFUNZI AATHIRIWA NA KESI YA MFALME ZUMARIDI 3 года назад
    MWANAFUNZI AATHIRIWA NA KESI YA MFALME ZUMARIDI
    Опубликовано: 3 года назад
  • KESI YA ZUMARIDI MWANZA MAMBO BADO MAGUMU, AONESHA MARINGO NDANI YA MAHAKAMA 3 года назад
    KESI YA ZUMARIDI MWANZA MAMBO BADO MAGUMU, AONESHA MARINGO NDANI YA MAHAKAMA
    Опубликовано: 3 года назад
  • RAIS SAMIA USO KWA USO NA FATHER KITIMA MSIBANI KWA MWADHAMA PENGO, ATOA NENO, AWATANIA CHADEMA 1 день назад
    RAIS SAMIA USO KWA USO NA FATHER KITIMA MSIBANI KWA MWADHAMA PENGO, ATOA NENO, AWATANIA CHADEMA
    Опубликовано: 1 день назад
  • ЧТО СКРЫВАЕТ ДНО БАЙКАЛА? КУСТО НАШЕЛ ЭТО И УМЕР ЧЕРЕЗ 3 ДНЯ... 3 недели назад
    ЧТО СКРЫВАЕТ ДНО БАЙКАЛА? КУСТО НАШЕЛ ЭТО И УМЕР ЧЕРЕЗ 3 ДНЯ...
    Опубликовано: 3 недели назад
  • Что не дает покоя патологоанатому? 2 недели назад
    Что не дает покоя патологоанатому?
    Опубликовано: 2 недели назад
  • DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 01. 03. 2.2026 | Mchana | Swahili Habari leo | Podcast Трансляция закончилась 2 часа назад
    DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 01. 03. 2.2026 | Mchana | Swahili Habari leo | Podcast
    Опубликовано: Трансляция закончилась 2 часа назад
  • Selasini aibua mapya kauli ya Dr. Nchimbi, aitaka serikali kukaa na CHADEMA, kumuachia Tundu Lisuu 3 часа назад
    Selasini aibua mapya kauli ya Dr. Nchimbi, aitaka serikali kukaa na CHADEMA, kumuachia Tundu Lisuu
    Опубликовано: 3 часа назад
  • Иран ударил по ОАЭ, Катару, Бахрейну и Кувейту. Аэропорты закрыты, что будет дальше? 14 часов назад
    Иран ударил по ОАЭ, Катару, Бахрейну и Кувейту. Аэропорты закрыты, что будет дальше?
    Опубликовано: 14 часов назад
  • ХВАТАТЬ ТРАВИТЬ огород! 🛑 Тля уйдет сама, если вы сделаете ЭТО вместо опрыскивания 1 день назад
    ХВАТАТЬ ТРАВИТЬ огород! 🛑 Тля уйдет сама, если вы сделаете ЭТО вместо опрыскивания
    Опубликовано: 1 день назад
  • Путин сломал Кабаевой жизнь! СОЛНЦЕВ разнес фигуристку — счастья у неё нет 1 день назад
    Путин сломал Кабаевой жизнь! СОЛНЦЕВ разнес фигуристку — счастья у неё нет
    Опубликовано: 1 день назад
  • MBUNGE ACHARUKA! AMLIPUA MFALME ZUMARIDI na KIBOKO ya WACHAWI - 9 месяцев назад
    MBUNGE ACHARUKA! AMLIPUA MFALME ZUMARIDI na KIBOKO ya WACHAWI - "WANAWADANGANYA WATOTO ETI ni MUNGU"
    Опубликовано: 9 месяцев назад
  • Если бы Это Видео Не Сняли На Камеру Видеонаблюдения, Никто Бы Точно Не Поверил 2 месяца назад
    Если бы Это Видео Не Сняли На Камеру Видеонаблюдения, Никто Бы Точно Не Поверил
    Опубликовано: 2 месяца назад
  • KESI YA MFALME ZUMARIDI: MAHAKAMA YATUPILIA MBALI MAOMBI YA UTETEZI.. 3 года назад
    KESI YA MFALME ZUMARIDI: MAHAKAMA YATUPILIA MBALI MAOMBI YA UTETEZI..
    Опубликовано: 3 года назад
  • Что чувствует усопший в первую ночь после похорон? Об этом должен знать каждый! 2 недели назад
    Что чувствует усопший в первую ночь после похорон? Об этом должен знать каждый!
    Опубликовано: 2 недели назад
  • Мария Захарова разнесла Каю Каллас в пух и прах 1 день назад
    Мария Захарова разнесла Каю Каллас в пух и прах
    Опубликовано: 1 день назад
  • Скрывали 40 лет, вот что случилось с тeлaми экипажа Челленджер, мурашки по коже… 10 дней назад
    Скрывали 40 лет, вот что случилось с тeлaми экипажа Челленджер, мурашки по коже…
    Опубликовано: 10 дней назад
  • ЧТО ПИТЬ, Чтобы Быстро Улучшить Кровообращение В Ногах? После 60! Доктор Александр 2 месяца назад
    ЧТО ПИТЬ, Чтобы Быстро Улучшить Кровообращение В Ногах? После 60! Доктор Александр
    Опубликовано: 2 месяца назад

Контактный email для правообладателей: u2beadvert@gmail.com © 2017 - 2026

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5