У нас вы можете посмотреть бесплатно CCM YAMTIMUA ALI KARUME USIKU WA MANANE BAADA YA BALOZI HUYO KULIANZISHA TENA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Halmshauri Kuu Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kusini #Unguja imemfuta Uanachama Kada wake, Balozi Ali Karume, aliyekuwa kwenye mvutano na Chama hicho pamoja na Serikali inayoongozwa na Rais Dkt. Hussien Mwinyi Kwa mujibu wa Taarifa ya Katibu Mwenezi, Ali Timamu Haji, Kikao cha kumfuta uanachama Balozi Karume kimefanyika Saa 7 usiku wa kuamkia leo Julai 8, 2023 kikiongozwa na Katibu wa CCM Mkoa, Amina Mnacho Balozi Karume ameituhumu CCM kuingia Madarakani kwa wizi wa Kura, akidai haijawahi kushinda Urais Zanzibar. Pia, Serikali imetwaa Ardhi ya Familia ya Karume.