У нас вы можете посмотреть бесплатно CHEKI YALIYOJIRI KATIKA KAMPENI ZA CCM UBUNGE JIMBO LA MLALO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mgombea Ubunge Jimbo la Mlalo, Rashid Shangazi amewaomba wananchi wa Jimbo hilo ifikapo October 28 wachague wagombea wa CCM ili waweze kumalizia ahadi na changamoto zilizopo. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampen zilizofanyika Manolo amesema yapo mafanikio mengi yaliyopatikana lakini bado changamoto zipo hivyo wananchi wahakikishe wanakipa Kura za kishindo chama Cha Mapinduzi ili kitatue na kuongeza miradi ya Maendeleo. Kwa upande wake Katibu wa CCM Mkoa wa Tanga Shaibu Akwilombe amesema kipindi kilichopita serikali imefanya mengi hivyo ni wakati wakuendelea kuwaamini viongozi watokanao na CCM ili wazidi kufanya Maendeleo sababu CCM ni chama Cha kihistoria . Kampeni za kumnadi Mgombea Ubunge wa CCM Jimbo la Mlalo zimezinduliwa rasmi Katika kata ya manolo .