У нас вы можете посмотреть бесплатно Vijana kutoka Kwale, Kilifi na Mombasa wanufaika na NYOTA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wajasiriamali chipukizi 5,880 kutoka kaunti za Mombasa, Kwale na Taita-Taveta walipokea jumla ya shilingi Milioni-139.5 leo kama mtaji wa kuanzisha biashara chini ya mradi wa kitaifa wa fursa za vijana kujiendeleza kiuchumi almaarufu-NYOTA. Walionufaika walitoka wadi-70 kwenye magatuzi hayo matatu, na walipokea ruzuku hiyo kupitia simu zao za rununu katika hafla iliyoongozwa na rais William Ruto kwenye uwanja wa maonesho wa Jomo Kenyatta jijini Mombasa. Mwanahabari wetu Ann Mburu ana habari hii kwa kina. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: / kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive