У нас вы можете посмотреть бесплатно KUMBUKIZI: Safari ya Maendeleo: Huduma Bora za Mama na Mtoto Zazidi Kuimarika Shinyanga или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Safari ya Maendeleo: Huduma Bora za Mama na Mtoto Zazidi Kuimarika Shinyanga Katika video hii tunakuletea makala maalum kuhusu namna Mkoa wa Shinyanga unavyoendelea kuimarisha upatikanaji wa huduma bora kwa mama na mtoto. Kupitia juhudi za Serikali, wadau wa afya na jamii kwa ujumla, huduma hizi zimekuwa mkombozi kwa maisha ya wanawake wajawazito na watoto wachanga. Tazama jinsi vituo vya afya vinavyoboreshwa, elimu ya afya inavyotolewa kwa kina mama, na mashujaa walioko mstari wa mbele kuhakikisha kuwa kila mama anajifungua salama na kila mtoto anapata mwanzo bora wa maisha. Subscribe, like na shea video hii ili kuendelea kuunga mkono jitihada za kuleta maendeleo ya afya kwa wote! #shinyanga #MamaNaMtoto #AfyaBora #SafariYaMaendeleo #RCShinyanga