У нас вы можете посмотреть бесплатно AKAA NA MAITI YA MCHUNGAJI WAKE MIEZI MIWILI AKIMWOMBEA ILI AFUFUKE или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mchungaji wa Kanisa la Heri Huruma, John Chida, Lililokuwa Linajengwa Kitongoji cha Isakalilo C Kijiji cha Isakalilo Kata ya Kalenga Wilaya ya Iringa Mkoani Iringa Anatajwa Kufariki Dunia na Kutozikwa kwa Miezi Karibu Miwili. Mwili wa Mchungaji Huo Umetambuliwa Hapo Jana Jumanne Katika Nyumba Aliyokuwa Amepanga Baada ya Mwenyekiti wa Kitongoji Hicho Amos Msole Kumtembelea Ili Kujua Hali Yake ya Kiafya Baada ya Kukataa Kwenda Hospitali. Inakadiriwa Kuwa Huenda Mchungaji Huyo Alifariki Dunia Kati ya Mwishoni mwa Mwezi wa Tisa Hadi Katikati ya Mwezi wa Kumi Huku Muumini Aliyekuwa Wanaishi Pamoja Kushindwa Kutoa Taarifa ya Kifo Hicho Hadi Kugundulika Jana. Baada ya Kuulizwa na Serikali ya Kitongoji Pamoja na Serikali ya Kijiji Muumini Huyo Aliyetambulika kwa Jina la Agnes Mwakijale Alidai Kuwa Mchungaji Wake Hajafa Bali Amechukuliwa na Mungu na Atarejea Tena Duniani Karibuni. Mwenyekiti wa Kijiji cha Isakalilo Alfred Mpiluka Amesema Serikali ya Kijiji Mwezi wa Nane Mwaka Huu Ilitoa Fedha Kwaajili ya Mchungaji Huyo Kwenda Hospitali Lakini Alisema Hawezi Kwenda Hospitali Kutokana na Imani Yake.