У нас вы можете посмотреть бесплатно WANANCHI WAFUNGUKA SABABU KUFUNGA BARABARA, KUZINGIRA KITUO CHA POLISI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wakazi wa Mji wa Lamadi wilayani Busega mkoani Simiyu wameeleza sababu za kufunga barabara na kwenda kituo cha Polisi kilichopo Lamadi wilayani humo, wakidai ni kwa sababu ya kutodhibitiwa kwa kwa vitendo vya watoto kupotea. Mapema leo Jumatano Agosti 21, 2024, Jeshi la Polisi mkoani Simiyu limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya baadhi ya waandamanaji hao huku Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa huo ikiongozwa na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Simon Simalenga ikifika eneo la Lamadi kutafuta suluhu la suala hilo. Jitihada za kupata kauli ya Jeshi la Polisi na Serikali kuhusu suala hilo na walichobaini kwenye maandamano hayo zinaendelea. Endelea kufuatilia Mwananchi Digital kwa taarifa zaidi.