У нас вы можете посмотреть бесплатно A-Z TUKIO LA MAUAJI NA MAANDAMANO NA MABOMU KUPIGWA MANYARA, POLISI WAFUNGUKA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wakazi wa Magugu Wilayani Babati Mkoani Manyara wameandamana na kufunga barabara kuu ya Babati - Arusha na kusababisha abiria wanaoenda Mikoa mbalimbali kukwama kwa zaidi ya saa nne sasa. Wananchi hao wameandamana baada ya kutokea tukio la mauaji ya Mtoto mdogo Maria Chacha mwenye miaka 7 ambaye aliuawa kwa kuchinjwa na kutenganishwa kichwa na kiwiliwili. Wananchi hao wanashinikiza kuachiliwa kwa Mtuhumiwa wa mauaji ambaye anashikiliwa na Polisi ambapo wanataka wajichukulie sheria mkononi kwa kumuadhibu wao wenyewe. Hapa tunae Kamanda Polisi Mkoa wa Manyara akifunguka kufuatia tukio hilo.