У нас вы можете посмотреть бесплатно Mbunge ang'aka fainali ya Yanga na Azam kutofanyika Manyara или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mbunge wa Babati mjini Pauline Gekul amesema wananchi wa Mkoa wa Manyara wamekuwa wakihoji kwanini mechi ya finali ya Kombe la Shirikisho la CRDB imeondolewa Mkoani Babati na kupelekwa Uwanja wa New Amaan, Zanzibar. Gekul amesema kuwa wamewapa maumivu makubwa Wanababati kwa kuwaondolea finali hizo kwa kigezo cha usalama. Ameiomba Bodi ya Ligi Tanzania na TFF kuangalia upya namna ya kuwapunguzia machungu kwa kuwapa mashindano mengine yatakayochezwa kwenye uwanja wao ulioandaliwa kwa muda mrefu.