У нас вы можете посмотреть бесплатно NJOMBE KUNA HELA WANAFUNZI ZINGATIENI MAADILI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wakati maandalizi ya maadhimisho ya siku ya wanawake duniani yakiendelea katika maeneo mbalimbali duniani halmashauri ya mji wa Njombe halmashauri hiyo imeanza kufanya shughuli mbalimbali za awali ambapo hii le march 2 2O26 imetembelea chuo cha afya na sayansi cha mgao kilichopo mjini Njombe. Miongoni mwa wadau mhimu walioshiriki kutoa elimu ya maadili kupitia mdahalo na nasaaha ni shirika la ONE VOICE ORGANIZATOION LA MJINI NJOMBE kupitia mkurugenzi wake Musa Lupenza ambaye aewataka wanachuo kuzingatia maadili hasa kipindi hiki cha masomo. Amesema ili kufikia ndoto kubwa vijana wanatakiwa kuwa wavumilivu na wenye subira katika mambo mengio