У нас вы можете посмотреть бесплатно LIVE|| MASIFU YA JIONI KUELEKA JUBILEI MIAKA 25 YA UASKOFU - BUKOBA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Karibu tusali pamoja Masifu ya jioni kutoka Parokia ya Bikira Maria Mama mwenye Huruma - Kanisa Kuu, Jimbo Katoliki Bukoba, kuelekea Jubilei ya miaka 25 ya Uaskofu wa Mhashamu Method Kilaini, Askofu msaidizi mstaafu wa Jimbo Katoliki Bukoba. Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, Askofu Mkuu mstaafu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam akishirikiana na Maaskofu Wakuu, Maaskofu Wastaafu, Maaskofu, Mapadre na Watawa wa kike na wa kiume, wanaongoza Waamini kusali Masifu. Kwaya inayoinjilisha ni ya Mafratel wa Seminari Kuu ya Mtakatifu Anthony wa Padua - Ntungamo, Jimbo Katoliki Bukoba. Masifu yanaongozwa na Mhashamu Severine Niwemugizi, Askofu wa Jimbo Katoliki Rulenge Ngara. Radio Maria Tanzania S.L.P 34573, Mikocheni Industrial Area plot no. 125, Barua pepe: [email protected] Wavuti: www.radiomaria.co.tz Mitandao Mingine ya Kijamii: Facebook: Radio Maria Tanzania Facebook Link: / radiomaria.tanzania Instagram: Radio Maria Tanzania Instagram Link: / radiomariatanzania Radio Maria Tanzania, Sauti ya Kikristu Nyumbani Mwako.