У нас вы можете посмотреть бесплатно Raia wa Comoro anaswa na aina mpya ya dawa za kulevya Dar"kali kuliko dawa zozote za kulevya" или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imemkamata Ahmed Bakar Abdou (32), raia wa Comoro akiwa na kilogramu 4.623 za aina mpya ya dawa za kulevya inayoelezwa kusababisha madhara ya haraka kwa mtumiaji. Dawa hizo zinayofahamika kama Methylene Dioxy Pyrovalerone (MDPV), zimekutwa kwa mtuhumiwa huyo akiwa katika harakati za kuzisafirisha kutokea Dar es Salaam. Taarifa iliyotolewa leo Alhamisi Aprili 4, 2024 na Kamishna Jenerali wa DCEA , Aretas Lyimo inaeleza kuwa MDPV ni dawa mpya ya kulevya iliyo katika kundi la vichangamshi inayotengenezwa kwa kutumia kemikali bashirifu. “Dawa hii ina kemikali inayoweza kuleta madhara ya haraka kwa mtumiaji ikilinganishwa na dawa nyingine za kulevya. Pia, imeongezwa nguvu ya kilevi inayozidi cocaine, heroin na methamphetamine.