• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

Salama Na MASOUD KIPANYA SE6 EP60 | HERI KUFA MACHO… PART 2 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460 скачать в хорошем качестве

Salama Na MASOUD KIPANYA SE6 EP60 | HERI KUFA MACHO… PART 2 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460 2 года назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Salama Na MASOUD KIPANYA SE6 EP60 | HERI KUFA MACHO… PART 2 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: Salama Na MASOUD KIPANYA SE6 EP60 | HERI KUFA MACHO… PART 2 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460 в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно Salama Na MASOUD KIPANYA SE6 EP60 | HERI KUFA MACHO… PART 2 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон Salama Na MASOUD KIPANYA SE6 EP60 | HERI KUFA MACHO… PART 2 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460 в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



Salama Na MASOUD KIPANYA SE6 EP60 | HERI KUFA MACHO… PART 2 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460

#SalamaNa #SendTip Through MPESA #5578460 Habibi Masoud Kipanya ni Ally Masoud Nyomwa ambaye ni LEGEND. Kwa mujibu wake alizaliwa huku kakunja ngumi na dhana yake ni kwamba alizaliwa ili awe bondia! Kwa anacho kifanya na ambacho amekua akikifanya tena kwa ufasaha kwa miaka nenda miaka rudi bila ya shaka ni UBONDIA. Hakuna ambaye atabisha juu ya hilo. Amekua akipigania mambo tele na kuyasemea mengi pamoja na kuchekesha na kuelimisha kupitia kalamu yake. Kwa mujibu wake yeye ni mbobevu katika taaluma ya kupuuza na kuchukulia mambo poa kwa kipindi sasa. Lakini pia anaamini yeye ni MTATA. Tukienda mbele na kurudi nyuma, hapo kwenye UTATA hakuna ambaye anaweza kumbishia, hasa kwa wale ambao kalamu yake imewanyoosha kwa kiasi kikubwa. Mimi na yeye tulikutana kwa mara ya kwanza takriban miaka kumi na tisa iliyopita, wakati huo mimi mbichi hasa na yeye akiwa kashajielewa na chemchem yake ya kipato tayari ilikua inatoa neema. Mimi nilikua ndo kwanza naanza kazi ya kujishikiza pale Times FM kipindi hiko bado ilikua kule Kamata. Masoud alikua analichorea gazeti la Majira ambalo lilikua liko kwenye mwamvuli mmoja na Radio ambayo nami nilikua nimejishikiza baada tu ya kumaliza skuli. Urafiki wetu ulikuja naturally tu maana sote tunapenda kucheka. Kupitia Zuhura Yunus na Binti mwengine wa kuitwa Rahma ndo mimi naye tulifahamiana. Wakati huo yeye alikua na gari kwahiyo lifti za hapa na pale zilikua hazikauki. Pia tulikua tunaitumia gari yake kama sehemu ya ku chill na kuskiliza muziki kwenye parking za Times FM. Huwezi kukaa kwenye tasnia moja kwa muda mrefu kama wewe si hodari na mwenye kujielewa. Moja ya vitu ambavyo naviusudu kutoka kwake ni uelewa wake wa mambo tele wa tele, IQ yake ni ya juu sana na jinsi ambavyo ana reason ndo huwa anamaliza kabisa, kama binadamu wakati mwengine ni bora kukubaliana kuto kukubaliana na kwakwe yeye wakati mwengine jinsi anavyo wachora baadhi ya matukio na watu huwa haviishii kuzuri lakini hiyo haikuwahi kuwa sababu ya yeye kuacha kufanya ambacho anakifanya na ambacho amekua akikifanya kwa muda sasa. Uelewa wake kwenye mambo ambayo yanaendelea, uwezo wake wa kuona mbali na kuweka sanaa yake hiyo kwenye karatasi kisha kutuachia sisi tung’amue maana yake kwa kweli ni kipaji cha kipekee ya sana. Mmoja anatakiwa akae tu mbali na ku admire akifanyacho na hiko ndo ambacho mimi nimeamua kufanya. Nilikua nataka anielezee maana halisi ya baadhi ya michoro yake ambayo iliacha gumzo kwa muda mrefu lakini kwa sababu ambazo niliziheshimu alisema asingependa iwe hivyo, uhuru wa kuwaacha watu watafsiri wao ndo raha ya kazi yake ingawa yeye anajua hasa kwanini alichora na maana yake hasa ni nini! Kwa heshima ya sanaa ilibidi nikubali matokeo. Toka umeanza kumjua na kufuatilia kazi yake, mara ngapi ushawahi kuskia Masoud yuko matatani? Yaani kakamatwa au hajulikani alipo? Kwangu mara kadhaa lakini haikuwahi kuwa kizuizi cha yeye kuacha kufanya afanyacho, kuogopa je? Nadhani kama binadamu kuwa na uoga ni jambo la kawaida, ila unafanyaje baada ya hapo ndo tofauti yetu. Episode hii inajumuisha karibu yote ambayo niliwahi kutaka kumuuliza, mengine nilipata majibu nlotaka na mengine yalitolewa mbavuni, kwa ki vyovyote vile nili enjoy sana mimi na wenzangu na kutoka kwetu tunatumai nawe uta enjoy kama ambayo nasi tuli enjoy na kujifunza kutoka kwa MWAMBA huyu. Love, Salama. Support us through https://anchor.fm/yahstonetown/support SUBSRIBE TO OUR CHANNEL https://bit.ly/YahStoneTownSubs Listen our Podcast on Spotify Link https://spoti.fi/2Uxr6Cm‬ ‪ApplePodcast Link https://apple.co/2Ou1bru‬ GooglePodcast Link https://bit.ly/GooglePodcastSalamaNa Audiomack Link https://bit.ly/YahStoneTownAudioMack ‪YouTube Link http://bit.ly/YoutubeSalamaNa Soundtrack Yeah by @MarcoChali    • Marco Chali Feat One The Incredible & Msam...   Follow: Twitter:   / yahstonetown   Instagram:   / yahstonetown   Facebook:   / yahstonetown   Channel Administered by Slide Digital Instagram: www.instagram.com/slidedigitaltz

Comments
  • Salama Na MASOUD KIPANYA SE6 EP60 | HERI KUFA MACHO… PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460 2 года назад
    Salama Na MASOUD KIPANYA SE6 EP60 | HERI KUFA MACHO… PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460
    Опубликовано: 2 года назад
  • Aref In Exile | در تبعید - عارف 2 недели назад
    Aref In Exile | در تبعید - عارف
    Опубликовано: 2 недели назад
  • Zembwela Afunguka Ukweli Wote Mpaka Kuacha Kazi East Africa | SALAMA NA ZEMBWELA PART 1 3 года назад
    Zembwela Afunguka Ukweli Wote Mpaka Kuacha Kazi East Africa | SALAMA NA ZEMBWELA PART 1
    Опубликовано: 3 года назад
  • MASOUD KIPANYA ASIMULIA KATUNI YA MAGUFULI ALIYOICHORA ILIVYOTAKA KUMLETEA SHIDA/NILIPIGIWA SIMU 1 год назад
    MASOUD KIPANYA ASIMULIA KATUNI YA MAGUFULI ALIYOICHORA ILIVYOTAKA KUMLETEA SHIDA/NILIPIGIWA SIMU
    Опубликовано: 1 год назад
  • MASWALI NA MAJIBU MAZITO KWA MASOUD KIPANYA KWENYE KASRI | ATAJA UTAJIRI WAKE 1 год назад
    MASWALI NA MAJIBU MAZITO KWA MASOUD KIPANYA KWENYE KASRI | ATAJA UTAJIRI WAKE
    Опубликовано: 1 год назад
  • THE CLASSIC FID Q : MIMI NI BABA WA MA-GOAT /MASTER JAY ALINIPOTEZEA 7 месяцев назад
    THE CLASSIC FID Q : MIMI NI BABA WA MA-GOAT /MASTER JAY ALINIPOTEZEA
    Опубликовано: 7 месяцев назад
  • Kila mwanaume ana idadi hii ya wanawake Part 1 - Masoud Kipanya 1 год назад
    Kila mwanaume ana idadi hii ya wanawake Part 1 - Masoud Kipanya
    Опубликовано: 1 год назад
  • Salama Na GARA B SE6 EP63 | BABA SHUGHULI PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460 2 года назад
    Salama Na GARA B SE6 EP63 | BABA SHUGHULI PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460
    Опубликовано: 2 года назад
  • Salama Na ANNA TIBAIJUKA SE6 EP58 | LA PROFESSEUR PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460 2 года назад
    Salama Na ANNA TIBAIJUKA SE6 EP58 | LA PROFESSEUR PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460
    Опубликовано: 2 года назад
  • Salama Na  MAJIZZO SE6 EP17 | MPIMAJI PART 1| SendTip MPESA LIPA NO 5578460 3 года назад
    Salama Na MAJIZZO SE6 EP17 | MPIMAJI PART 1| SendTip MPESA LIPA NO 5578460
    Опубликовано: 3 года назад
  • MASOUD KIPANYA: NDOTO ZINAKUFA/ 1 год назад
    MASOUD KIPANYA: NDOTO ZINAKUFA/ "TUNAHITAJI SAUTI YA PAMOJA"/ WENYE VIWANDA/ WAZALISHAJI
    Опубликовано: 1 год назад
  • MASOUD KIPANYA; HUWEZI KUPEWA MILIONI 20 UKAHAMA MEDIA/KIGEUGEU SANA/MATAJIRI WATAMCHOKA/KANIKERA 1 год назад
    MASOUD KIPANYA; HUWEZI KUPEWA MILIONI 20 UKAHAMA MEDIA/KIGEUGEU SANA/MATAJIRI WATAMCHOKA/KANIKERA
    Опубликовано: 1 год назад
  • Salama Na MAJIZZO SE6 EP17 | MPIMAJI PART 2 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460 3 года назад
    Salama Na MAJIZZO SE6 EP17 | MPIMAJI PART 2 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460
    Опубликовано: 3 года назад
  • Salama Na OSCAR OSCAR SE6 EP39 | UALIMU?! SI WITO!! PART 2 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460 3 года назад
    Salama Na OSCAR OSCAR SE6 EP39 | UALIMU?! SI WITO!! PART 2 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460
    Опубликовано: 3 года назад
  • Salama Na SUGU Ep 50 | UJIO WA UMRI PART 1 4 года назад
    Salama Na SUGU Ep 50 | UJIO WA UMRI PART 1
    Опубликовано: 4 года назад
  • 3 года назад
    "Nilianza Kujitegemea Nikiwa Na Miaka 17" AY Afunguka Maisha Kabla Ya Umaarufu | SALAMA NA AY PT 1
    Опубликовано: 3 года назад
  • Salama Na MwanaFA Ep 10 | KARAMA Part 1 5 лет назад
    Salama Na MwanaFA Ep 10 | KARAMA Part 1
    Опубликовано: 5 лет назад
  • Salama Na MZEE YUSUPH SE6 EP12 |QANUN PART 1|SendTip MPESA LIPA NO 5578460 3 года назад
    Salama Na MZEE YUSUPH SE6 EP12 |QANUN PART 1|SendTip MPESA LIPA NO 5578460
    Опубликовано: 3 года назад
  • Salama Na HAJI Ep 52 | ALIYE KUTWIKA NDIYE ATAKAYE KUTUA PART 1 4 года назад
    Salama Na HAJI Ep 52 | ALIYE KUTWIKA NDIYE ATAKAYE KUTUA PART 1
    Опубликовано: 4 года назад
  • Салама на TOUFIQ SE6 EP73 | ум'ПЕНДА ЧАСТЬ 1 | SendTip MPESA LIPA № 5578460 2 года назад
    Салама на TOUFIQ SE6 EP73 | ум'ПЕНДА ЧАСТЬ 1 | SendTip MPESA LIPA № 5578460
    Опубликовано: 2 года назад

Контактный email для правообладателей: [email protected] © 2017 - 2025

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5