• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

Salama Na MZEE YUSUPH SE6 EP12 |QANUN PART 1|SendTip MPESA LIPA NO 5578460 скачать в хорошем качестве

Salama Na MZEE YUSUPH SE6 EP12 |QANUN PART 1|SendTip MPESA LIPA NO 5578460 3 года назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Salama Na MZEE YUSUPH SE6 EP12 |QANUN PART 1|SendTip MPESA LIPA NO 5578460
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: Salama Na MZEE YUSUPH SE6 EP12 |QANUN PART 1|SendTip MPESA LIPA NO 5578460 в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно Salama Na MZEE YUSUPH SE6 EP12 |QANUN PART 1|SendTip MPESA LIPA NO 5578460 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон Salama Na MZEE YUSUPH SE6 EP12 |QANUN PART 1|SendTip MPESA LIPA NO 5578460 в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



Salama Na MZEE YUSUPH SE6 EP12 |QANUN PART 1|SendTip MPESA LIPA NO 5578460

#SalamaNa #SendTip Through MPESA #5578460 Mzee Yusuph ni Kaka yangu, namfahamu kwa kiasi toka tulipokua wadogo, tulikua tukienda skuli moja enzi hizo. Mimi namkumbuka yeye vizuri kama MCHEKESHAJI kabla ya kuamua kufanya muziki wa Taarab, siku zote alikua mtu anayeweza kusimama mbele za watu na kusababisha watu kufurahi… Pengine ndo maana mpaka leo, yeye ni SUPERSTAR wa muziki wa mwambao, hautaweza kumuelezea mtu MAPINDUZI makubwa yaliyofanyika kwenye mziki huu mwanzoni mwa miaka ya elfu mbili bila ya jina lake kutajwa, tena mara nyingi. Mzaliwa wa Unguja na wazazi wenye asili ya Bara, Mzee ni mcheshi na asiye na woga, kwake yeye kuanzisha safari nyengine wakati hii aliyopo akiona inasuasua hawezi kujiuliza mara mbili, na akiamua huwa hana kurudi nyumba kabisa. Kwangu naamini hii ni moja ya nguvu zake, njia yake na mafanikio alonayo yalianzia hapa! Baada ya kukaa na ‘waasisi’ na kuona jinsi wanavyoendesha kazi zao, basi yeye alisoma mengi ambayo yalimfanya awe tofauti na walomtangulia, tena sana. Nilipozungumza naye alianzia nyuma kwa kunieleza chimbuko la asili yake kwa upande wa Baba na Mama yake, kama kulikua na asili ya muziki au yeye ndo muanzilishi hayo yote alinielezea kwa urefu hasa. Jinsi Baba na Mama yake walivyokutana. Na nani alimfundisha yeye kupenda Taarab, pia tukumbuke Dada yake Khadija naye ni muimbaji tena muimbaji mzuri tu, kwahiyo tunaweza kusema familia yao imeweza kutoa ma superstar wa nguvu wawili ambao wameufanyia mziki wa Taarab mengi tu mazuri Mashallah. Ushindani kwenye Taarab mimi kwa imani yangu unakua mara dufu wa ule wa kawaida na nitakuambia kwa nini, Taarab sifa yake ni kusema, kusuta, kumfanya mtu ajione hana maana, kutamba na mengine mengi, kwahiyo basi watu wa Taarab wakiwa wanashindana basi wewe kaa tayari kujifunza maneno na misemo mipya, si unakumbuka majibizano maarufu kati ya Bi Khadija Kopa na Marehemu Nasma Khamis Kidogo? Ile jibizana ilikua si ya nchi si unakumbuka? Kama ulikua mdogo na hiyo Drama ilikupita pengine nikushauri uanze kumfuatilia mziki huu na nakuahidi BURUDANI. Huo ndo USHINDANI, huku mtu anaweza akaambiwa maneno mpaka akatamani watu wasimjue tena. Ni BRUTAL Muda si mwingi umepita toka Mzee Yusuph autangazie ulimwengu kwamba anarudi kwenye kiti chake kama MFALME wa Taarab. Hiyo ilitokea baada ya Bwana huyu kuutangazia ulimwengu kwamba hataki tena kufanya muziki na badala yake ameamua kutumia sauti yake kwa kumtukuza Allah Subhana Wa Taala. Habari hizi mbili sote zilipokelewa kwa mshtuko mwingi, ile ya kwanza ya yeye kuacha muziki, na hii ya pili ya yeye kutaka kiti chake. Kwa mujibu wa walimwengu Mzee aliongea mambo mengi sana wakati anaacha mziki na aliporudi sasa ilimfanya awe na maswali meeeengi ya kujibu kutoka kwa wananchi. Na huwezi kuamini Mzee amekua akienda nao jino kwa jino kwenye majibu ya maswali yenye maana na tashtiti anazopokea amekua akizituliza vizuri tu na kujibu bila ya kupepesa kope. Sisi na yeye hakutuacha kitu, kama ni sufuria basi tulihakikisha na ukoko hatumuachii mkoshaji, tulikwangua! Yetu matumaini nawe uta enjoy kuskiliza na kuangalia episode hii. Happy Holidays, Love, Salama. Support us through https://anchor.fm/yahstonetown/support SUBSRIBE TO OUR CHANNEL https://bit.ly/YahStoneTownSubs Listen our Podcast on Spotify Link https://spoti.fi/2Uxr6Cm‬ ‪ApplePodcast Link https://apple.co/2Ou1bru‬ GooglePodcast Link https://bit.ly/GooglePodcastSalamaNa Audiomack Link https://bit.ly/YahStoneTownAudioMack ‪YouTube Link http://bit.ly/YoutubeSalamaNa Soundtrack Yeah by @MarcoChali    • Marco Chali Feat One The Incredible & Msam...   Follow: Twitter:   / yahstonetown   Instagram:   / yahstonetown   Facebook:   / yahstonetown   Channel Administered by Slide Digital Instagram: www.instagram.com/slidedigitaltz

Comments
  • Salama Na HENRY KULAYA SE6 EP13|MASTER PART 1|SendTip MPESA LIPA NO 5578460 3 года назад
    Salama Na HENRY KULAYA SE6 EP13|MASTER PART 1|SendTip MPESA LIPA NO 5578460
    Опубликовано: 3 года назад
  • 𝐊𝐈𝐍𝐆 𝐎𝐅 𝐌𝐎𝐃𝐄𝐑𝐍 𝐓𝐀𝐀𝐑𝐀𝐁 Mzee Yusuph V.I.P (Official Video) produced by Mzee Yusuph 4 года назад
    𝐊𝐈𝐍𝐆 𝐎𝐅 𝐌𝐎𝐃𝐄𝐑𝐍 𝐓𝐀𝐀𝐑𝐀𝐁 Mzee Yusuph V.I.P (Official Video) produced by Mzee Yusuph
    Опубликовано: 4 года назад
  • Salama Na DULLA MAKABILA SE6 EP 11|MZEE WA NDERE...MO PART 1|SendTip MPESA LIPA NO 5578460 3 года назад
    Salama Na DULLA MAKABILA SE6 EP 11|MZEE WA NDERE...MO PART 1|SendTip MPESA LIPA NO 5578460
    Опубликовано: 3 года назад
  • Salama Na MARDHIYA SE6 EP47 | HIARI... PART 2 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460 2 года назад
    Salama Na MARDHIYA SE6 EP47 | HIARI... PART 2 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460
    Опубликовано: 2 года назад
  • Salama Na GARA B SE6 EP63 | BABA SHUGHULI PART 2 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460 2 года назад
    Salama Na GARA B SE6 EP63 | BABA SHUGHULI PART 2 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460
    Опубликовано: 2 года назад
  • Top Tajiki Song Shabnam Suryo | آهنگ های ناب و دلنشین از هنرمند مشهور تاجکستان شبنم ثریا 1 год назад
    Top Tajiki Song Shabnam Suryo | آهنگ های ناب و دلنشین از هنرمند مشهور تاجکستان شبنم ثریا
    Опубликовано: 1 год назад
  • All song of Nigina Amonqulova | مجموعه از بهترین و ناب ترین آهنگ های نگینه آمانقلوا از 1 год назад
    All song of Nigina Amonqulova | مجموعه از بهترین و ناب ترین آهنگ های نگینه آمانقلوا از
    Опубликовано: 1 год назад
  • MASOUD KIPANYA ASIMULIA KATUNI YA MAGUFULI ALIYOICHORA ILIVYOTAKA KUMLETEA SHIDA/NILIPIGIWA SIMU 1 год назад
    MASOUD KIPANYA ASIMULIA KATUNI YA MAGUFULI ALIYOICHORA ILIVYOTAKA KUMLETEA SHIDA/NILIPIGIWA SIMU
    Опубликовано: 1 год назад
  • Salama Na KING AliKiba SE6 Ep 03 FULL SHOW | DELIGHTFUL Part 2 |SendTip MPESA LIPA NO 5578460 3 года назад
    Salama Na KING AliKiba SE6 Ep 03 FULL SHOW | DELIGHTFUL Part 2 |SendTip MPESA LIPA NO 5578460
    Опубликовано: 3 года назад
  • Salama Na MSIGWA SE6  EP01 FULL SHOW | SEMA PART 1 | SendTip Through MPESA  LIPA NO 5578460 3 года назад
    Salama Na MSIGWA SE6 EP01 FULL SHOW | SEMA PART 1 | SendTip Through MPESA LIPA NO 5578460
    Опубликовано: 3 года назад
  • FULL INTERVIEW MKE WA MZEE YUSUPH,KIFO CHA MKE MDOGO,KUACHA MZIKI 1 год назад
    FULL INTERVIEW MKE WA MZEE YUSUPH,KIFO CHA MKE MDOGO,KUACHA MZIKI
    Опубликовано: 1 год назад
  • EXCLUSIVE: P FUNK KUTOPENDA KAJALA ANAVYOMLEA MTOTO WAO PAULA, BONGO RECORDS, MAISHA NA MENGINE 5 лет назад
    EXCLUSIVE: P FUNK KUTOPENDA KAJALA ANAVYOMLEA MTOTO WAO PAULA, BONGO RECORDS, MAISHA NA MENGINE
    Опубликовано: 5 лет назад
  • Москву поставили на место / Путин нажил нового врага? 6 часов назад
    Москву поставили на место / Путин нажил нового врага?
    Опубликовано: 6 часов назад
  • Salama Na FAROUK KAREEM SE6 EP54 | SAILOR PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460 2 года назад
    Salama Na FAROUK KAREEM SE6 EP54 | SAILOR PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460
    Опубликовано: 2 года назад
  • Salama Na BRENDA SE6 EP65 | MY DEAR… PART 2 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460 2 года назад
    Salama Na BRENDA SE6 EP65 | MY DEAR… PART 2 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460
    Опубликовано: 2 года назад
  • Salama Na JK Ep48 | MSOGA UNO PART 2 4 года назад
    Salama Na JK Ep48 | MSOGA UNO PART 2
    Опубликовано: 4 года назад
  • Salama Na GARA B SE6 EP63 | BABA SHUGHULI PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460 2 года назад
    Salama Na GARA B SE6 EP63 | BABA SHUGHULI PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460
    Опубликовано: 2 года назад
  • Валерий Ширяев о скором (?!) конце войны 21 час назад
    Валерий Ширяев о скором (?!) конце войны
    Опубликовано: 21 час назад
  • SIAVASH GHOMAYSHI Classic Mix 🔝 | بهترین های سیاوش قمیشی 2 года назад
    SIAVASH GHOMAYSHI Classic Mix 🔝 | بهترین های سیاوش قمیشی
    Опубликовано: 2 года назад
  • Salama Na ZAHIR ZORRO SE6 EP52 | KIMULIMULI PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460 2 года назад
    Salama Na ZAHIR ZORRO SE6 EP52 | KIMULIMULI PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460
    Опубликовано: 2 года назад

Контактный email для правообладателей: [email protected] © 2017 - 2025

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5