• ClipSaver
ClipSaver
РусскиС Π²ΠΈΠ΄Π΅ΠΎ
  • Π‘ΠΌΠ΅ΡˆΠ½Ρ‹Π΅ Π²ΠΈΠ΄Π΅ΠΎ
  • ΠŸΡ€ΠΈΠΊΠΎΠ»Ρ‹
  • ΠžΠ±Π·ΠΎΡ€Ρ‹
  • Новости
  • ВСсты
  • Π‘ΠΏΠΎΡ€Ρ‚
  • Π›ΡŽΠ±ΠΎΠ²ΡŒ
  • ΠœΡƒΠ·Ρ‹ΠΊΠ°
  • Π Π°Π·Π½ΠΎΠ΅
БСйчас Π² Ρ‚Ρ€Π΅Π½Π΄Π΅
  • Π€Π΅ΠΉΠ³ΠΈΠ½ Π»Π°ΠΉΡ„
  • Π’Ρ€ΠΈ ΠΊΠΎΡ‚Π°
  • Π‘Π°ΠΌΠ²Π΅Π» адамян
  • А4 ΡŽΡ‚ΡƒΠ±
  • ΡΠΊΠ°Ρ‡Π°Ρ‚ΡŒ Π±ΠΈΡ‚
  • Π³ΠΈΡ‚Π°Ρ€Π° с нуля
Π˜Π½ΠΎΡΡ‚Ρ€Π°Π½Π½Ρ‹Π΅ Π²ΠΈΠ΄Π΅ΠΎ
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

Salama Na MARDHIYA SE6 EP47 | HIARI... PART 2 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460 ΡΠΊΠ°Ρ‡Π°Ρ‚ΡŒ Π² Ρ…ΠΎΡ€ΠΎΡˆΠ΅ΠΌ качСствС

Salama Na MARDHIYA SE6 EP47 | HIARI... PART 2 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460 2 years ago

Yah StoneTown YahStoneTown

SalamaJabir

SalamaNa

MarcoChali

Jokate

FidQ

MxCarter

KhadijaKopa

Gigi Money

Gigy Money

MwanaFA

Ay

DiamondPlatnumz

НС удаСтся Π·Π°Π³Ρ€ΡƒΠ·ΠΈΡ‚ΡŒ Youtube-ΠΏΠ»Π΅Π΅Ρ€. ΠŸΡ€ΠΎΠ²Π΅Ρ€ΡŒΡ‚Π΅ Π±Π»ΠΎΠΊΠΈΡ€ΠΎΠ²ΠΊΡƒ Youtube Π² вашСй сСти.
ΠŸΠΎΠ²Ρ‚ΠΎΡ€ΡΠ΅ΠΌ ΠΏΠΎΠΏΡ‹Ρ‚ΠΊΡƒ...
Salama Na MARDHIYA SE6 EP47 | HIARI... PART 2 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460
  • ΠŸΠΎΠ΄Π΅Π»ΠΈΡ‚ΡŒΡΡ Π’Πš
  • ΠŸΠΎΠ΄Π΅Π»ΠΈΡ‚ΡŒΡΡ Π² ОК
  •  
  •  


Π‘ΠΊΠ°Ρ‡Π°Ρ‚ΡŒ Π²ΠΈΠ΄Π΅ΠΎ с ΡŽΡ‚ΡƒΠ± ΠΏΠΎ ссылкС ΠΈΠ»ΠΈ ΡΠΌΠΎΡ‚Ρ€Π΅Ρ‚ΡŒ Π±Π΅Π· Π±Π»ΠΎΠΊΠΈΡ€ΠΎΠ²ΠΎΠΊ Π½Π° сайтС: Salama Na MARDHIYA SE6 EP47 | HIARI... PART 2 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460 Π² качСствС 4k

Π£ нас Π²Ρ‹ ΠΌΠΎΠΆΠ΅Ρ‚Π΅ ΠΏΠΎΡΠΌΠΎΡ‚Ρ€Π΅Ρ‚ΡŒ бСсплатно Salama Na MARDHIYA SE6 EP47 | HIARI... PART 2 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460 ΠΈΠ»ΠΈ ΡΠΊΠ°Ρ‡Π°Ρ‚ΡŒ Π² максимальном доступном качСствС, Π²ΠΈΠ΄Π΅ΠΎ ΠΊΠΎΡ‚ΠΎΡ€ΠΎΠ΅ Π±Ρ‹Π»ΠΎ Π·Π°Π³Ρ€ΡƒΠΆΠ΅Π½ΠΎ Π½Π° ΡŽΡ‚ΡƒΠ±. Для Π·Π°Π³Ρ€ΡƒΠ·ΠΊΠΈ Π²Ρ‹Π±Π΅Ρ€ΠΈΡ‚Π΅ Π²Π°Ρ€ΠΈΠ°Π½Ρ‚ ΠΈΠ· Ρ„ΠΎΡ€ΠΌΡ‹ Π½ΠΈΠΆΠ΅:

  • Π˜Π½Ρ„ΠΎΡ€ΠΌΠ°Ρ†ΠΈΡ ΠΏΠΎ Π·Π°Π³Ρ€ΡƒΠ·ΠΊΠ΅:

Π‘ΠΊΠ°Ρ‡Π°Ρ‚ΡŒ mp3 с ΡŽΡ‚ΡƒΠ±Π° ΠΎΡ‚Π΄Π΅Π»ΡŒΠ½Ρ‹ΠΌ Ρ„Π°ΠΉΠ»ΠΎΠΌ. БСсплатный Ρ€ΠΈΠ½Π³Ρ‚ΠΎΠ½ Salama Na MARDHIYA SE6 EP47 | HIARI... PART 2 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460 Π² Ρ„ΠΎΡ€ΠΌΠ°Ρ‚Π΅ MP3:


Если ΠΊΠ½ΠΎΠΏΠΊΠΈ скачивания Π½Π΅ Π·Π°Π³Ρ€ΡƒΠ·ΠΈΠ»ΠΈΡΡŒ ΠΠΠ–ΠœΠ˜Π’Π• Π—Π”Π•Π‘Π¬ ΠΈΠ»ΠΈ ΠΎΠ±Π½ΠΎΠ²ΠΈΡ‚Π΅ страницу
Если Π²ΠΎΠ·Π½ΠΈΠΊΠ°ΡŽΡ‚ ΠΏΡ€ΠΎΠ±Π»Π΅ΠΌΡ‹ со скачиваниСм Π²ΠΈΠ΄Π΅ΠΎ, поТалуйста Π½Π°ΠΏΠΈΡˆΠΈΡ‚Π΅ Π² ΠΏΠΎΠ΄Π΄Π΅Ρ€ΠΆΠΊΡƒ ΠΏΠΎ адрСсу Π²Π½ΠΈΠ·Ρƒ страницы.
Бпасибо Π·Π° использованиС сСрвиса ClipSaver.ru



Salama Na MARDHIYA SE6 EP47 | HIARI... PART 2 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460

#SalamaNa #SendTip Through MPESA #5578460 Salum Mardhiya ni mmoja ya watu maarufu sana kwenye visiwa vya marashi ya karafuu yaani kule kwetu Zanzibar. Ni mmoja ya waalimu hodari anayeongoza kwa kutoa Da’wa kwa watu ambao wanasumbuliwa na matatizo mbali mbali. Kwenye nyumba karibu zote wanamfahamu maana huonekana mara kwa mara kwenye maeneo mbali mbali ili kusaidia wale ambao wanahitaji kisomo chake. Binafsi nilifahamiana nae kupitia rafiki ambae alinitambulisha kwake mapema mwaka huu, tena haikua imepangwa wala, alikuja sehemu ambayo mie nilikuwepo kuja kupata chai na mimi bahati nzuri nilikua maeneo hayo so mtu akatutambulisha, na akaambiwa kama Mama yangu ni mgonjwa yuko hospitali na yeye akasema basi atakuja baadae kwaajili ya kumuombea dua, na jioni akatokea. Oh kama angependa kujua hali ya Mama yangu Alhamdulillah yuko vizuri. Tunamshkuru Mungu. Kwa mujibu wa story za hapa na pale niliambiwa nilikua na bahati sana kumpata maana ratiba yake ya kutoa Da’wa ni tight sana na watu ni wengi wanaohitaji huduma zake ila muda anakua hautoshi wa kumtilia Dua kila mtu ingawa angependa kufanya hivyo, kwahiyo ilikua kama bahati sisi kukutana na kuanzia hapo tukaanza kuwa tunaonana kwa kiasi. Nikaona si vibaya kama nitamleta kwenye meza yetu ili na sisi tuweze kumfahamu zaidi. Wakati namuambia kuhusu mualiko wa kuja kwenye kiti chetu chakavu hakua na hiyana, aliangalia ratiba yake na akaniambia hiyo tarehe atakuwepo nchini. Sheikh Mardhiya yeye huwa anasafiri sana, Da’wa zake huzitoa sehemu tofauti tofauti duniani, mara nyingi anakua zake Arabuni, mitaa ya Oman na Dubai na Abu Dhabi huwepo sana, kashatibu watu wa aina tele kwenye maisha yake. Kuanzia marajiri mpaka maskini, ambao walikua na imani na anachofanya na ambao hawakua na imani nae. Simu yake huita mara kwa mara na hiyo ni moja ya sababu za yeye kuwa na namba zaidi ya moja na kuwa na wasaidizi kadhaa. So huku kwenye kutoa Da’wa alifikaje? Hii ilikua ndo mwanzo wa maongezi yetu haya. Akiwa kama kijana ambaye angeweza pengine kufanya kazi ya aina yoyote na kujipatia rizki yake, kwanini alichagua hii? Kaniambia tokea akiwa na umri wa miaka sita, alianza kupata upeo huo, bila hata yeye mwenyewe kujua ni nini hasa kilikua kinaendelea katika maisha yake, anakumbuka pia jinsi alivyokua anazimia na kupata uwezo wa kuwasomea walokua wanahitaji kisomo chake na wanakua poa kabisa, anasema hata hakumbuki alikua anawasomea nini baadhi yao ila sasa baada ya kuwa mtu mzima na kupata kuijua vizuri Quran Tukufu ndo anang’amua nini alikua anawasomea watu ule. Mwanzo nilisema Mardhiya ni kijana kwahiyo kwa kiasi kikubwa ana style ya maisha ambayo vijana wengi wangependa kuwa nayo ila uwezo nayo hawana. Kama kuwa na maisha ya kifahari, magari mazuri na mke zaidi ya mmoja, pesa nyingi na nyumba nzuri zaidi ya moja na kusafiri mara kwa mara. Hii kwa ki aina flani imekua ikileta maneno na maswali kuhusu uhalali wa ambacho anafanya au ambacho amekua akifanya. Je maneno hayo yanamzui yeye kufanya ambacho anafanya kwa watu wenye uhitaji? Au kubadilisha aina ya maisha ambayo anaishi? Tumeongea kuhusu masuala ya Husda na wivu, usafi na mmoja kuamua kujipenda zaidi. Je kuna makosa kwenye baadhi ya matamanio ya nafsi zetu? Vipi kuhusu Sadaka? Inatakiwa itolewe ki namna gani? Ipi ni sawa na ipi si sawa? Ipi ni dhambi na ipi ni nzuri ili kuweza kuwafanya na wengine watamani kutoa? Vipi kuhusu Heshima kwa kila mmoja? Wazazi? Nafasi ya Wanawake? Kuhusu imani na uchawi kwa ambacho yeye anafanya? Mmoja anaweza kujuaje kama hii ni kufuru na hii ni sawa? Maswali yalikua mengi na majibu pia yalikua yanatoka kutokana na swali lilivyo ulizwa, yangu matumaini elimu ambayo Mimi nimeipata na kwako itakua vivyo hivyo. Tafadhali Enjoy, Love, Salama. Support us through https://anchor.fm/yahstonetown/support SUBSRIBE TO OUR CHANNEL https://bit.ly/YahStoneTownSubs Listen our Podcast on Spotify Link https://spoti.fi/2Uxr6Cm‬ β€ͺApplePodcast Link https://apple.co/2Ou1bru‬ GooglePodcast Link https://bit.ly/GooglePodcastSalamaNa Audiomack Link https://bit.ly/YahStoneTownAudioMack β€ͺYouTube Link http://bit.ly/YoutubeSalamaNa Soundtrack Yeah by @MarcoChali Β Β Β β€’Β MarcoΒ ChaliΒ FeatΒ OneΒ TheΒ IncredibleΒ &Β Msam...Β Β  Follow: Twitter: Β Β /Β yahstonetownΒ Β  Instagram: Β Β /Β yahstonetownΒ Β  Facebook: Β Β /Β yahstonetownΒ Β  Channel Administered by Slide Digital Instagram: www.instagram.com/slidedigitaltz

Comments
  • Salama Na MARDHIYA SE6 EP47 | HIARI... PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460 2 years ago
    Salama Na MARDHIYA SE6 EP47 | HIARI... PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460
    ΠžΠΏΡƒΠ±Π»ΠΈΠΊΠΎΠ²Π°Π½ΠΎ: 2 years ago
    41466
  • ΠšΡ‚ΠΎ ΠΈ ΠΊΠ°ΠΊ управляСт Π•Π²Ρ€ΠΎΠΏΠΎΠΉ? Π”ΡƒΠ΄ΡŒ – Π² Π•Π²Ρ€ΠΎΠΏΠ°Ρ€Π»Π°ΠΌΠ΅Π½Ρ‚Π΅ / Eng subs 1 day ago
    ΠšΡ‚ΠΎ ΠΈ ΠΊΠ°ΠΊ управляСт Π•Π²Ρ€ΠΎΠΏΠΎΠΉ? Π”ΡƒΠ΄ΡŒ – Π² Π•Π²Ρ€ΠΎΠΏΠ°Ρ€Π»Π°ΠΌΠ΅Π½Ρ‚Π΅ / Eng subs
    ΠžΠΏΡƒΠ±Π»ΠΈΠΊΠΎΠ²Π°Π½ΠΎ: 1 day ago
    1069865
  • ЯдСрная Π²ΠΎΠΉΠ½Π°: сцСнарий. Как тСхничСски ΠΏΡ€ΠΎΠΈΠ·ΠΎΠΉΠ΄Π΅Ρ‚ апокалипсис 1 day ago
    ЯдСрная Π²ΠΎΠΉΠ½Π°: сцСнарий. Как тСхничСски ΠΏΡ€ΠΎΠΈΠ·ΠΎΠΉΠ΄Π΅Ρ‚ апокалипсис
    ΠžΠΏΡƒΠ±Π»ΠΈΠΊΠΎΠ²Π°Π½ΠΎ: 1 day ago
    829161
  • Как ΠΆΠΈΠ²ΡƒΡ‚ Ρ…Π°ΠΊΠ΅Ρ€Ρ‹? Π€Π‘Π‘, Π΄Π°Ρ€ΠΊΠ½Π΅Ρ‚ ΠΈ ΠΌΠΈΠ»Π»ΠΈΠΎΠ½Ρ‹ Π΄ΠΎΠ»Π»Π°Ρ€ΠΎΠ² |  Π˜ΡΡ‚ΠΎΡ€ΠΈΠΈ мошСнников, ΠΊΠΈΠ±Π΅Ρ€ΠΏΠ°Ρ€Ρ‚ΠΈΠ·Π°Π½ ΠΈ Π·Π΅Ρ‚Π½ΠΈΠΊΠΎΠ² 1 day ago
    Как ΠΆΠΈΠ²ΡƒΡ‚ Ρ…Π°ΠΊΠ΅Ρ€Ρ‹? Π€Π‘Π‘, Π΄Π°Ρ€ΠΊΠ½Π΅Ρ‚ ΠΈ ΠΌΠΈΠ»Π»ΠΈΠΎΠ½Ρ‹ Π΄ΠΎΠ»Π»Π°Ρ€ΠΎΠ² | Π˜ΡΡ‚ΠΎΡ€ΠΈΠΈ мошСнников, ΠΊΠΈΠ±Π΅Ρ€ΠΏΠ°Ρ€Ρ‚ΠΈΠ·Π°Π½ ΠΈ Π·Π΅Ρ‚Π½ΠΈΠΊΠΎΠ²
    ΠžΠΏΡƒΠ±Π»ΠΈΠΊΠΎΠ²Π°Π½ΠΎ: 1 day ago
    274141
  • ALIE ROGWA HASA ANAKUWA HIVI / SHEIKH MARDIYAH 3 years ago
    ALIE ROGWA HASA ANAKUWA HIVI / SHEIKH MARDIYAH
    ΠžΠΏΡƒΠ±Π»ΠΈΠΊΠΎΠ²Π°Π½ΠΎ: 3 years ago
    28534
  • ΠšΡ€ΠΈΠ·ΠΈΡ 8 Π“Π‘ | ΠŸΠΎΡ‡Π΅ΠΌΡƒ NVIDIA ΠΈ AMD экономят Π½Π° видСопамяти? 8 hours ago
    ΠšΡ€ΠΈΠ·ΠΈΡ 8 Π“Π‘ | ΠŸΠΎΡ‡Π΅ΠΌΡƒ NVIDIA ΠΈ AMD экономят Π½Π° видСопамяти?
    ΠžΠΏΡƒΠ±Π»ΠΈΠΊΠΎΠ²Π°Π½ΠΎ: 8 hours ago
    72958
  • Salama Na DR TULIA  SE6 EP50 | BULYAGA 1976 PART 2 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460 2 years ago
    Salama Na DR TULIA SE6 EP50 | BULYAGA 1976 PART 2 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460
    ΠžΠΏΡƒΠ±Π»ΠΈΠΊΠΎΠ²Π°Π½ΠΎ: 2 years ago
    24925
  • Убийство НСмцова. Как Π·Π°ΠΌΠ΅Ρ‚Π°Π»ΠΈ слСды, Π²Π΅Π΄ΡƒΡ‰ΠΈΠ΅ ΠΊ ΠŸΡƒΡ‚ΠΈΠ½Ρƒ ΠΈ ΠšΠ°Π΄Ρ‹Ρ€ΠΎΠ²Ρƒ 5 months ago
    Убийство НСмцова. Как Π·Π°ΠΌΠ΅Ρ‚Π°Π»ΠΈ слСды, Π²Π΅Π΄ΡƒΡ‰ΠΈΠ΅ ΠΊ ΠŸΡƒΡ‚ΠΈΠ½Ρƒ ΠΈ ΠšΠ°Π΄Ρ‹Ρ€ΠΎΠ²Ρƒ
    ΠžΠΏΡƒΠ±Π»ΠΈΠΊΠΎΠ²Π°Π½ΠΎ: 5 months ago
    780601
  • Как Π‘Π΅Ρ€Π³Π΅ΠΉ Π“Π°Π»ΠΈΡ†ΠΊΠΈΠΉ ΠΏΠΎΠ±Π΅Π΄ΠΈΠ» Π² ΠΆΠΈΠ·Π½ΠΈ, бизнСсС ΠΈ Ρ„ΡƒΡ‚Π±ΠΎΠ»Π΅ 3 days ago
    Как Π‘Π΅Ρ€Π³Π΅ΠΉ Π“Π°Π»ΠΈΡ†ΠΊΠΈΠΉ ΠΏΠΎΠ±Π΅Π΄ΠΈΠ» Π² ΠΆΠΈΠ·Π½ΠΈ, бизнСсС ΠΈ Ρ„ΡƒΡ‚Π±ΠΎΠ»Π΅
    ΠžΠΏΡƒΠ±Π»ΠΈΠΊΠΎΠ²Π°Π½ΠΎ: 3 days ago
    504974
  • Sheikh Kipozeo: 2 years ago
    Sheikh Kipozeo: "Sisi Ni Watu Wa Mwisho Wa Dunia, Kiama Bado" | SALAMA NA SHEIKH KIPOZEO PT 2
    ΠžΠΏΡƒΠ±Π»ΠΈΠΊΠΎΠ²Π°Π½ΠΎ: 2 years ago
    48787

ΠšΠΎΠ½Ρ‚Π°ΠΊΡ‚Π½Ρ‹ΠΉ email для ΠΏΡ€Π°Π²ΠΎΠΎΠ±Π»Π°Π΄Π°Ρ‚Π΅Π»Π΅ΠΉ: [email protected] © 2017 - 2025

ΠžΡ‚ΠΊΠ°Π· ΠΎΡ‚ отвСтствСнности - Disclaimer ΠŸΡ€Π°Π²ΠΎΠΎΠ±Π»Π°Π΄Π°Ρ‚Π΅Π»ΡΠΌ - DMCA Условия использования сайта - TOS