У нас вы можете посмотреть бесплатно Mpina awashukia Mawaziri wanaopeleka majungu kwa Rais "nimekulia huko, nilitoka kwa kuvikwa nishani" или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema Mawaziri ambao wamekuwa wakishindwa kujibu maswali yake na kusema kwamba ana lake kuwa yeye ana jambo la maendeleo ya Watanzania huku akiwashukia kuwa wamekuwa wakipeleka majungu kwa Rais Samia. “Nataka kuwaambia kwamba hakuna jambo lolote tuna jambo moja la Watanzania kupata maendeleo, hakuna hiyana yoyote na huko wanakopeleka majungu, wengine wajue ndio tumekulia” amesema Mpina Mpina ameyasema hayo leo Ijumaa Mei 10, 2024 wakati akichangia kwenye mjadala wa kupitisha bajeti ya Wizara ya Kilimo kwa mwaka wa fedha 2024/25, huku akieleza kuwa aliwahi kuhudumu chini ya Rais Samia hadi akatoka kwa kuvikwa nishani.