У нас вы можете посмотреть бесплатно MAMBO YAZIDI KUNOGO UJENZI WA STENDI YA MABASI YA KIMATAIAFA YA NGANGAMFUMUNI MJINI MOSHI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Uongozi wa Manispaa ya Moshi umemuagiza mkandarasi anayetekeleza ujenzi wa Kituo Kipya cha Kimataifa cha Mabasi cha Ngangamfuni kuongeza kasi ya utekelezaji wa mradi huo kwa kufanya kazi usiku na mchana, ili ukamilike kwa wakati uliopangwa. Serikali ilihuisha mkataba wa ujenzi wa mradi huo mwezi Juni mwaka jana, na mkandarasi CRJE East Africa Ltd kuendelea na ujenzi ambao unatarajiwa kukamilika ifikapo Aprili 2026 Kukamilika kwa stendi hiyo ni moja ya kiu kubwa ya wananchi wa Manispaa ya Moshi na Mkoa wa Kilimanjaro, hasa ikizingatiwa kuwa ujenzi wake ulianza tangu mwaka 2019 lakini ulisimama kwa kipindi fulani kutokana na sababu mbalimbali.