У нас вы можете посмотреть бесплатно Wakulima wa Machungwa, Mahindi Handeni wapewa dawa ya kuuwa viwavijeshi / Inzi weupe или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wakulima wa zao la Machungwa na Mahindi ambao hulima kwenye zaidi ya ekari 229,112 wilayani Handeni mkoani Tanga wamenufaika kwa kupatiwa viatilifu vya kuuwa Inzi weupe na Viwavijeshi,ambavyo vilikuwa vikiharibu mazao yao shambani katika msimu uliopita. Hayo yameelezwa na kaimu mkurugenzi halmashauri ya wilaya Handeni ambae pia ni Afisa Kilimo na Umwagiliaji wa eneo hilo Yibarila Chiza,wakati akitoa taarifa ya kupokea dawa za kuuwa wadudu sumbufu lita 1550 kwaajili ya ekari 12,500 za wakulima wa Machungwa na 216,612 za Mahindi kutoka kwa mbunge wa jimbo la Handeni vijijini John Sallu na hapa anafafanua zaidi...