У нас вы можете посмотреть бесплатно YANA MWISHO – (Official Gospel Song) | MemPro Sounds или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wimbo huu wa injili unaitwa “YANA MWISHO”, Ni wimbo wa faraja na matumaini, unaowakumbusha watu wote wa Mungu kwamba mateso, majaribu, na hali ngumu za maisha hazitadumu milele — Mungu yupo pamoja nasi, anajua na anasikia kilio cha mioyo yetu, na kesho yetu ni bora kuliko leo yetu. Usikate tamaa... YANA MWISHO. 🙏 Warumi 8:18 (Kwa maana mateso ya wakati huu wa sasa si kitu kama utukufu ule utakaofunuliwa kwetu) na Isaya 43:1 (Usiogope, maana mimi nimekuokoa; nimekuita kwa jina lako, wewe u wangu). #YanaMwisho, #MemPro, #GospelMusic, #TanzanianGospel, #GospelSong, #Injili, #MemProSounds, #TheGospelSounds, #Faraja, #Matumaini, #ChristianMusic, #GospelVibes, #AfricanGospel, #Worship, #Praise, #Hope #Faith, #GodIsAble, #YanaMwishoMemPro.