У нас вы можете посмотреть бесплатно 🔴 TAZAMA MKUU WA MKOA WA GEITA AKIWAFUKUZA MAAFISA WA TATU WA GGML KWENYE KIKAO CHA RCC или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MKUU wa mkoa wa Geita, Martine Shigella amewamuru watendaji watatu ambao ni wafanyakazi wa Kampuni ya Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGML) kutoka nje ya ukumbi wa kikao cha Kamisheni Cha Mkoa (RCC). Uamuzi wa Shigella unakuja kufuatia kutoridhishwa na majibu ya maofisa hao wa GGML kuhusu utoaji wa malimbikizo ya pesa za Uwajibikaji wa Makampuni kwa Jamii (CSR) ambazo hazijatolewa kwa muda mrefu. Shigella alisema fedha za CSR ni pesa ya wananchi na siyo pesa za mtumishi wa GGML na haitolewi kama hisani bali ipo kwa mjibu wa sheria na kanuni za madini na hivo GGML haipaswi kuleta mzaha katika utekelezaji wa CSR. Mbunge wa Jimbo la Chato, Dk Medard Kalemani alipongeza uamuzi wa mkuu wa mkoa na kueleza kuwa kanuni ya 140 ya sheria za madini inatambua CSR inatekelezwa kwa mjibu wa sheria na siyo hisani.