У нас вы можете посмотреть бесплатно AULIWA NA MUMEWE KISA KUTUMIA ARV KWA KIFICHO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linamshikilia mwanaume mmoja ambaye jina lake limehifadhiwa, mkazi wa kijiji cha Tingi kilichopo wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma, kwa tuhuma za kumjeruhi mke wake kwa kumchoma tumboni kwa kutumia kitu chenye ncha kali. Akizungumza kuhusu tukio hilo, Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma, SACP Marco Chilya, amesema tukio hilo lilitokea tarehe 21 Januari 2026 majira ya saa moja usiku katika kijiji cha Tingi. Amesema mtuhumiwa anadaiwa kumchoma mke wake baada ya kugundua kuwa alikuwa akitumia dawa za kufubaza virusi vya ukimwi (ARV) kwa siri bila kumshirikisha mume wake. #Ronica_updates #auliwa_Na_Mumewe_kisa_ARV #ruvuma #news