У нас вы можете посмотреть бесплатно KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING - 05/02/2026 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING - 05/02/2026 UJUMBE WA LEO: UWEZO WA MUNGU KATIKA KUFANYA JAMBO JIPYA LENYE UTUKUFU MPYA Hagai 2:3-9 3 Miongoni mwenu amebaki nani aliyeiona nyumba hii katika utukufu wake wa kwanza? Nanyi mnaionaje sasa? Je! Mbele ya macho yenu, siyo kama si kitu? 4 Lakini sasa uwe hodari, Ee Zerubabeli, asema Bwana; nawe uwe hodari, Ee Yoshua, mwana wa Yehosadaki, kuhani mkuu, nanyi iweni hodari, enyi watu wote wa nchi hii, asema Bwana; mkafanye kazi, kwa kuwa mimi ni pamoja nanyi, asema Bwana wa majeshi; 5 kama neno lile nililoagana nanyi mlipotoka katika nchi ya Misri; na roho yangu inakaa kati yenu; msiogope. 6 Kwa maana Bwana wa majeshi asema hivi, Mara moja tena, ni kitambo kidogo tu, nami nitazitikisa hizo mbingu, na hii nchi, na bahari, na nchi kavu; 7 nami nitatikisa mataifa yote, na vitu vinavyotamaniwa na mataifa yote vitakuja; nami nitaijaza nyumba hii utukufu, asema Bwana wa majeshi. 8 Fedha ni mali yangu, na dhahabu ni mali yangu, asema Bwana wa majeshi. 9 Utukufu wa mwisho wa nyumba hii utakuwa mkuu kuliko utukufu wake wa kwanza, asema Bwana wa majeshi; na katika mahali hapa nitawapa amani, asema Bwana wa majeshi. MAMBO MUHIMU YA KUFAHAMU KUHUSU AHADI ZA MUNGU iv.Mungu anapeda umkumbushe ahadi zake.. Isaya 43:26 v. Ahadi zinapiganiwa unaweza ikazuiliwa au kubadilishwa na ukubwa ahadi iliyo juu yako ndio inaamua kiwango cha vita yako Yoshua 14:6 -13 vi. Ahadi ya Mungu yenye kuleta jambo jipya huambatana na vikwazo ili kujaribu kuvuruga mapenzi ya Mungu..(majitu) vii. Ahadi za Mungu zimebebwa na mapenzi ya Mungu, hivyo unacho takiwa ni kufanya mapenzi ya Mungu tu, wakati ukiingojea ahadi yako ..“Waebrania 10:36 viii. Kila mtu ana ahadi yake chini ya mbingu na kila Ahadi imebeba hatima ya maisha mtu husika, ix. Kila Ahadi ya Mungu inahitaji mchakato wake iliiweze kutimiza ..Ahadi ya Mungu inakupa wajibu kufanya. x. Mtu mwenye ahadi ni kama Mbegu, tena mtu mwenye ahadi anafanana na mwanamke mjamzito lazima kuna kuchakaa ..kuna mambo atayakataa ..kuna Mambo atayapendaa ..kuna uchungu atapitia ..anahitaji mzalishaji(mkunga) na mkulima Mhubiri: Mwl. Ezekiel Malando Kwa maombi na ushauri : Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053 Mch. Msaidizi: Anna Kuyonga Simu: +255 713 553 443 YouTube: Kijitonyama Lutheran church Barua Pepe : Kijitonyamalutheran@gmail.com