У нас вы можете посмотреть бесплатно Mgombea Ubunge CCM Jimbo la Kigoma kusini Nuru Kashakari aeleza vipaumbele vyake . или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mgombea Ubunge CCM Jimbo la Kigoma kusini Nuru Kashakari [Kandahari] amemshukuru Rais wa Tanzania na mgombea Urais kwa fedha nyingi alizowezesha miradi mikubwa katika jimbo hilo huku akimuomba pia kuangazia miradi mipya atakapoapishwa kwa mara nyingine hasa ujenzi wa Barabara ya lami takribani km 300 kwenda hifadhi ya Taifa Mahale pamoja na ujenzi wa daraja kubwa mto malagarasi kuunganisha vijiji vya Ilagala kwenda kusini kiuchumi. Kashakari amesema hayo kijiji cha Kazuramimba wakati kwa niaba ya wagombea wengine wa majimbo nane ya mkoa huo akimshukuru Rais nakuomba kura.