У нас вы можете посмотреть бесплатно Vumbi linaloathiri wafanyakazi kiwanda cha Neelkanth Limited kuchunguzwa или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Naibu Waziri ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira ,Mussa Sima, ameliagiza baraza la hifadhi na usimamizi wa Mazingira #NEMC kufanya ukaguzi kwenye kiwanda cha kuzalisha chokaa na kemikali cha Neelkanth Limited kilichopo kata ya Kiomoni jijini Tanga ,ili kubaini chanzo cha uwepo wa vumbi ambalo linaathiri wafanyakazi pamoja na wanachi wanaozunguka eneo hilo. #AzamTVUpdates Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: / azamtvtz ►INSTAGRAM: / azamsports2 ►TWITTER: / azamtvtz ►FACEBOOK: / azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz