• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

HOTUBA KAMILI YA RAIS MAGUFULI AKIWA TARIME - 07/09/2018 скачать в хорошем качестве

HOTUBA KAMILI YA RAIS MAGUFULI AKIWA TARIME - 07/09/2018 7 лет назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
HOTUBA KAMILI YA RAIS MAGUFULI AKIWA TARIME - 07/09/2018
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: HOTUBA KAMILI YA RAIS MAGUFULI AKIWA TARIME - 07/09/2018 в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно HOTUBA KAMILI YA RAIS MAGUFULI AKIWA TARIME - 07/09/2018 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон HOTUBA KAMILI YA RAIS MAGUFULI AKIWA TARIME - 07/09/2018 в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



HOTUBA KAMILI YA RAIS MAGUFULI AKIWA TARIME - 07/09/2018

Ni kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika leo Septemba 7, 2018 kwenye Chuo cha Ualimu Tarime ikiwa ni sehemu ya ziara yake mkoani Mara. Katika kuhitimisha ziara yake mkoa wa Mara, Rais Magufuli amehutubia mkutano wa hadhara Mjini Tarime na kuwahakikishia wananchi wa mji huo kuwa Serikali ya Awamu ya Tano itaendelea kuwahudumia wananchi bila kuwabagua. Katika hotuba hii Rais Maguli ameeleza sababu ya kumuondoa kwenye nafasi yake Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Valentino Mlowola, amekemea vitendo vya rushwa na ubadhirifu ndani ya CCM, pia amemkaribisha CCM mbunge wa CHADEMA Ester Matiko. Amesema kwamba kwa Tarime serikali imetenga shilingi Bilioni 14 kwa ajili ya mradi mkubwa wa maji, imeanza ujenzi wa barabara ya Tarime – Mugumu kwa kiwango cha lami, imetoa shilingi milioni 400 za ujenzi wa kituo cha afya, inatoa fedha za elimu bila malipo kila mwezi na inaendelea kusambaza umeme kwa vijiji vyote visivyo na umeme. Rais Magufuli amezungumzia uwekezaji wa shamba la miwa na kiwanda cha sukari katika wilaya ya Tarime, na kueleza kuwa Serikali itafanya uchambuzi wa kina kabla ya kuridhia mradi huo huku akiwataka viongozi wa Mkoa na Wilaya kuondoa tofauti zao. Kwa wilaya jirani ya Rorya Rais Magufuli amemuagiza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Selemani Jafo kutafuta fedha kiasi cha shilingi Bilioni 1.5 kwa ajili ya kujenga hospitali.

Comments
  • Rais Magufuli ambana Mkurugenzi wa Manyoni kisa bibi wa miaka 90 4 года назад
    Rais Magufuli ambana Mkurugenzi wa Manyoni kisa bibi wa miaka 90
    Опубликовано: 4 года назад
  • HOTUBA YA RAIS MAGUFULI BAADA YA KUPOKEA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MADINI YA ALMASI NA TANZANITE 8 лет назад
    HOTUBA YA RAIS MAGUFULI BAADA YA KUPOKEA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MADINI YA ALMASI NA TANZANITE
    Опубликовано: 8 лет назад
  • HOTUBA KAMILI YA RAIS MAGUFULI AKIWA MUSOMA - 05/09/2018 7 лет назад
    HOTUBA KAMILI YA RAIS MAGUFULI AKIWA MUSOMA - 05/09/2018
    Опубликовано: 7 лет назад
  • HOTUBA YA RAIS DKT.  JOHN POMBE MAGUFULI  ALIPOWAAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUA - IKULU DSM 6 лет назад
    HOTUBA YA RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI ALIPOWAAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUA - IKULU DSM
    Опубликовано: 6 лет назад
  • HOTUBA YA RAIS DKT MAGUFULI BAADA YA KUPOKEA RIPOTI YA KAMATI YA PILI YA MADINI JUNE 12, 2017 8 лет назад
    HOTUBA YA RAIS DKT MAGUFULI BAADA YA KUPOKEA RIPOTI YA KAMATI YA PILI YA MADINI JUNE 12, 2017
    Опубликовано: 8 лет назад
  • RAIS DKT. MAGUFULI ATOA MSIMAMO WA SERIKALI KUHUSU BEI YA KOROSHO NCHINI 2018 7 лет назад
    RAIS DKT. MAGUFULI ATOA MSIMAMO WA SERIKALI KUHUSU BEI YA KOROSHO NCHINI 2018
    Опубликовано: 7 лет назад
  • KIPINDI MAALUM CHA RAIS DKT MAGUFULI KUFANYA ZIARA BANDARINI MARCH 23,2017 8 лет назад
    KIPINDI MAALUM CHA RAIS DKT MAGUFULI KUFANYA ZIARA BANDARINI MARCH 23,2017
    Опубликовано: 8 лет назад
  • KUBWA HII MUME NA MKEWE WABISHANA MBELE YA MAGUFULI, MAMA AMWAGA MACHOZI 5 лет назад
    KUBWA HII MUME NA MKEWE WABISHANA MBELE YA MAGUFULI, MAMA AMWAGA MACHOZI "NANYANYASHWA"
    Опубликовано: 5 лет назад
  • HOTUBA YA RAIS DKT MAGUFULI ALIYOTOA KWA WAKURUGENZI WA HAMASHAURI,JULY 12,2016 IKULU DSM mp4 9 лет назад
    HOTUBA YA RAIS DKT MAGUFULI ALIYOTOA KWA WAKURUGENZI WA HAMASHAURI,JULY 12,2016 IKULU DSM mp4
    Опубликовано: 9 лет назад
  • HOTUBA YA RAIS DKT JOHN MAGUFULI AKIZINDUA STENDI YA MABASI MBEZI DAR ES SALAAM 4 года назад
    HOTUBA YA RAIS DKT JOHN MAGUFULI AKIZINDUA STENDI YA MABASI MBEZI DAR ES SALAAM
    Опубликовано: 4 года назад
  • HOTUBA YA RAIS DKT MAGUFULI BAADA YA KUTEMBELEA   KIWANDA CHA SUKARI KAGERA 8 лет назад
    HOTUBA YA RAIS DKT MAGUFULI BAADA YA KUTEMBELEA KIWANDA CHA SUKARI KAGERA
    Опубликовано: 8 лет назад
  • 5 лет назад
    "LUKUVI SISI SIO WATOTO WADOGO" MAGUFULI AMVAA VIKALI WAZIRI MBELE YA WANANCHI "UMEWEKWA MKONONI"
    Опубликовано: 5 лет назад
  • HOTUBA YA MHE. RAIS DKT MAGUFULI WAKATI AKIMUAPISHA CDF,IKULU DSM 06 FEB 2017 8 лет назад
    HOTUBA YA MHE. RAIS DKT MAGUFULI WAKATI AKIMUAPISHA CDF,IKULU DSM 06 FEB 2017
    Опубликовано: 8 лет назад
  • RAIS DKT. MAGUFULI AKIWA NJIANI KUELEKEA JIJINI DODOMA Трансляция закончилась 5 лет назад
    RAIS DKT. MAGUFULI AKIWA NJIANI KUELEKEA JIJINI DODOMA
    Опубликовано: Трансляция закончилась 5 лет назад
  • RAIS MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSTUKIZA GEREZA LA UKONGA  mp4 8 лет назад
    RAIS MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSTUKIZA GEREZA LA UKONGA mp4
    Опубликовано: 8 лет назад
  • #LIVE: RAIS DKT. MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA DARAJA KIYEGEA MKOANI MOROGORO Трансляция закончилась 5 лет назад
    #LIVE: RAIS DKT. MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA DARAJA KIYEGEA MKOANI MOROGORO
    Опубликовано: Трансляция закончилась 5 лет назад
  • HOTUBA YA RAIS DKT MAGUFULI BAADA YA KUPOKEA TAARIFA YA UCHUNGUZI WA MCHANGA WA DHAHABU 8 лет назад
    HOTUBA YA RAIS DKT MAGUFULI BAADA YA KUPOKEA TAARIFA YA UCHUNGUZI WA MCHANGA WA DHAHABU
    Опубликовано: 8 лет назад
  • 0CTOBER 31,2016 ZIARA YA MH RAIS MAGUFULI NCHINI KENYA PARTY ONE 9 лет назад
    0CTOBER 31,2016 ZIARA YA MH RAIS MAGUFULI NCHINI KENYA PARTY ONE
    Опубликовано: 9 лет назад
  • HOTUBA YA RAIS MAGUFULI KWENYE UFUNGUZI WA HOSPITALI YA TAALUMA NA TIBA - KAMPASI YA  MLOGANZILA 7 лет назад
    HOTUBA YA RAIS MAGUFULI KWENYE UFUNGUZI WA HOSPITALI YA TAALUMA NA TIBA - KAMPASI YA MLOGANZILA
    Опубликовано: 7 лет назад
  • HOTUBA YA MHE.RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI KWENYE MKUTANO MKUU WA 33 DAR ES SALAAM  03 OKT 2017 8 лет назад
    HOTUBA YA MHE.RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI KWENYE MKUTANO MKUU WA 33 DAR ES SALAAM 03 OKT 2017
    Опубликовано: 8 лет назад

Контактный email для правообладателей: [email protected] © 2017 - 2025

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5