У нас вы можете посмотреть бесплатно POLISI ATAKA KUJENGA KABURI CHUMBANI HOFU YAMUINGIA AJENGA KANDO YA NYUMBA. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Askari wa Jeshi la Polisi Mkoani Manyara anayeishi katika Mkoa wa Kilimanjaro, Patrick Kimaro amejijengea Kaburi lake akidai kutaka kuepuka kuwapa ndugu zake gharama za kujenga kaburi hilo endapo muda wowote ataondoka hapa duniani. Patrick anayeishi katika Kata ya Masama Kati, Wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro kati ya mengi ambayo ametueleza ni kuwa licha ya Familia yake kushtushwa na jambo hilo idadi kubwa ya watu ambao huwa wanakuja kumsalimia kipindi cha likizo kimepungua mara dufu kutokana hali ya sitofahamu ya uandaaji wa kaburi hilo. Aidha, ametueleza kuwa anao mpango wa kununua Jeneza na kulihifadhi katika moja ya vyumba vyake ambavyo awali alitarajia kuzikwa humo, lakini baadae alihofia huenda familia yake itaikimbia nyumba hiyo. #live #breakingnews #updates #kilimanjaro GADI TV ndiyo Channel pekee inayokuwezesha kupata Habari za Kisiasa,Michezo, Kijamii, na Burudani kutoka Ndani na Nje ya Tanzania. Kwa huduma ya Matangazo au Habari pamoja na maoni na ushauri usisite kuwasiliana nasi kupitia namba za simu +255 769 780 063 au e-mail: [email protected] Don't forget to SUBSCRIBE, LIKE, COMMENT and SHARE!!! #GADI TV Thanks. #live