У нас вы можете посмотреть бесплатно Mbunge wa Ngorongoro ajisalimisha polisi afafanua tuhuma za uchochezi. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mbunge wa Jimbo la Ngorongoro Emmanuel Oleshangay Leo amejisalimisha polisi Arusha baada ya kusakwa kwa zaidi ya wiki kutokana na tukio la waandishi wa habari kupigwa. Akizungumzia tuhuma za kuzuiwa wananchi kuhamia Msomera amesema……………. Oleshangay pia amekanusha taarifa za kulitukana jeshila polisi na kueleza clip inayosambazwa Sasa ni mkutano aliyofanya Kijiji Cha Nainokanoka Ngorongoro mwezi wa tatu mwaka huu baada ya wananchi kulalamika kuvamiwa usiku ma askari wa Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro.