У нас вы можете посмотреть бесплатно KIBAKWE NA DC KIZIGO KUTATUA KERO ZA WANANCHI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Mhe Dkt Sophia Mfaume kizigo Agosti 14,2025 ameendelea na ziara yake ya kikazi ya kutembelea miradi ya kimaemdeleo na kuskiliza na kutatua kero za Wanachi katika Jimbo la Kibakwe na kukagua. -Ujenzi wa vyumba saba vya madarasa na matundu nane ya vyoo Wotta Sekondari _Umaliziaji wa Bwalo.la Chakula Wotta Sekondari _Ujenzi wa kituo cha Afya Wotta_Wangi(TASAF) _Umaliziaji wa vyumba nane vya madarasa Wangi Sekondari _Umaliziaji wa Bweni la Wanafunzi Kibakwe Sekondari _Ujenzi wa jengo la Maabara kituo cha Afya Kibakwe _Ujenzi wa vyumba vitatu vya madarasa na matundu sita ya vyoo Shule ya Msingi Kingiti _Umaliziaji wa vyumba wiliwi vya madarsa Lukole Sekondari Na kufanya mkutano wa hadhara na Wanachi wa kila kata kwa lengo la kuskiliza kero zao n kuzipatia utatuzi. "Kero yako wajibu wangu"