У нас вы можете посмотреть бесплатно Rais Samia amlilia Kardinali Pengo, Bob Wine akimshitaki Musevini Ulaya или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MSETO PLUS: Unayopaswa kuyafahamu leo Februari 20, 2026. 01. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa pole kwa waamini wa Kanisa Katoliki na wote walioguswa na msiba kufuatia kifo cha aliyekuwa Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam na Kardinali wa Kanisa Katoliki, Polycarp Pengo. 02. Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imeanza kuchukua hatua ya kuwaondoa wafanyabiashara wanaofanya shughuli zao katika maeneo yasiyo rasmi. 03. Kiongozi wa upinzani Robert Kyagulanyi, maarufu kama Bobi Wine, ameitaka jamii ya kimataifa iweke vikwazo kwa Rais Yoweri Museveni, mwanaye Jenerali Muhoozi Kainerugaba, pamoja na maofisa wengine wa ngazi ya juu wa serikali kutokana na ukiukaji unaodaiwa wa haki za binadamu.