У нас вы можете посмотреть бесплатно Mkurugenzi wa mashtaka aagiza uchunguzi wa mkasa wa bwawa la Solai или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Hayo yakijiri, mkurugenzi wa mashtaka ya umma Noordin Haji ameiagiza idara ya polisi kufanya uchunguzi kuhusu bwawa la Solai lililovunja kingo zake na kuwaua watu 45. Haya yanajiri huku bwawa jingine kwenye eneo hilo la Solai likitarajiwa kuharibiwa kutoka na hatari inayohofiwa, masuali pia yakiendelea kuibuka kuhusu iwapo taasisi husika zimelegea kwenye majukumu yake. Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered. This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world. Follow us: http://citizentv.co.ke / citizentvkenya / citizentvkenya https://plus.google.com/+CitizenTVKenya / citizentvkenya