У нас вы можете посмотреть бесплатно KUNENA KWA LUGHA - PASTOR SUNBELLA KYANDO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Matendo ya Mitume 2:2-4 Kukaja ghafula toka mbinguni uvumi kama uvumi wa upepo wa nguvu ukienda kasi, ukaijaza nyumba yote waliyokuwa wameketi. Kukawatokea ndimi zilizogawanyikana, kama ndimi za moto uliowakalia kila mmoja wao. Wote wakajazwa Roho Mtakatifu, wakaanza kusema kwa lugha nyingine, kama Roho alivyowajalia kutamka. Biblia inasema wote wakajazwa na Roho Mtakatifu.Lakini kanuni ya kwanza kabla hujampokea huyu Roho Mtakatifu ni lazima uwe umempokea Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako. Fuatiliza hii Sala ya toba ninayokuongoza. Katika maombi haya ya Ujazo wa Roho Mtakatifu utaenda kumuona Mungu kwa namna iliyo kuu.Kinachohitajika ni Imani yako tu,na kinachotakiwa ni wewe kuwa na kiu ya kujazwa naye. #PastorSunbella#Kunena#KwaLugha