У нас вы можете посмотреть бесплатно 30 MINUTES OF DEEP WORSHIP: Live at Embasava Stage | Levite Riders или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu... Bwana Mungu wa Majeshi." 🕊️🙌 Karibu katika dakika 30 za ibada ya kina iliyorekodiwa moja kwa moja kutoka Embasava Stage, Nairobi. Kupitia huduma ya Levite Riders Missioners Intl, tunainua madhabahu ya sifa katikati ya mji, tukiamini kuwa uwepo wa Mungu unaweza kubadilisha mazingira yoyote. Kama unatafuta utulivu wa moyo, wakati wa maombi, au unataka tu kumwabudu Mungu, video hii imetengenezwa kwa ajili yako. Mfuatilio wa Nyimbo (Timestamps): 0:00 Mtakatifu (Holy) 👑 3:38 Salama Rohoni (It is Well) 🕊️✨ 7:10 Hakuna wa Kufanana Naye 🧱 13:13 Tuko Mbele Zako (In Your Presence) 🙏 Tusaidie kufikisha Injili mitaani: Paybill: 522533 | Account: 7956544 M-Pesa: 0706557454 Subscribe kwa video zaidi za ibada kila wiki! #LeviteRiders #DeepWorship #EmbasavaStage #StreetAltar #NairobiRevival #SalamaRohoni #Mtakatifu #GospelKenya2026#Levite Riders