У нас вы можете посмотреть бесплатно NASEMA ASANTE! 🙏 Ali Mukhwana ft. Levite Riders | Powerful Street Worship 2026 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Ungana na Ali Mukhwana na timu ya Levite Riders Missioners Intl katika wakati huu wa kipekee wa kuinua madhabahu ya sifa mitaani. Video hii ni mkusanyiko wa nyimbo zinazogusa moyo, kuanzia shukrani ya "Nasema Asante" hadi ombi la "Naijulikane Kwamba Upo." Kama unapitia kipindi kigumu au unataka tu kumshukuru Mungu kwa umbali uliotoka, huduma hii itakuvusha na kukuimarisha. Mfuatilio wa Nyimbo na Timestamps: 0:00 Nasema Asante 🙏 3:50 Nachotaka ni Wewe Tu ❤️ 7:54 Umbali Tumetoka (Our Journey) 😭✨ 14:42 Lipi Likushindalo? 🙌 16:00 Naijulikane Kwamba Upo 🔥 21:45 Ni Wewe Bwana 👑 Tusaidie kuendeleza huduma hii mitaani: Paybill: 522533 | Account: 7956544 M-Pesa: 0706557454 (Official Line) Subscribe ili kupata habari za mikutano yetu ya mitaani na video mpya kila wiki! #AliMukhwana #LeviteRiders #NasemaAsante #StreetWorship #UmbaliTumetoka #NairobiRevival #DeepWorship2026 #KenyaGospel#Levite Riders