У нас вы можете посмотреть бесплатно MAAGIZO YA WAZIRI BASHUNGWA MV. KILINDONI YATEKELEZWA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) kupitia ofisi yake ya Vivuko Kanda ya Mashariki na Kusini imetekeleza agizo lililotolewa na Waziri wa Ujenzi Mhe. Innocent Bashungwa alilolitoa Tarehe 22 Machi 2024 wakati alipofanya ziara kukagua utendaji kazi wa kivuko MV. KILINDONI kinachotoa huduma kati ya Mafia na Nyamisati Mkoani Pwani ambapo aliuagiza Wakala kuhakikisha unapeleka vichanja vya kuhifadhia mizigo katika kivuko hicho pamoja na maturubai ili kuhakikisha mizigo na mali za abiria wanaotumia kivuko inakuwa katika hali ya usalama na kuepuka kunyeshewa na mvua. Akizungumza mara baada ya kutekeleza agizo hilo , Meneja wa vivuko Kanda ya Mashariki na Kusini Mhandisi Lukombe King’ombe amesema kuwa, Wakala utaendelea kusimamia usalama wa mali na abiria wake katika maeneo yote ya vivuko nchini na kuhakikisha unawapatia huduma iliyo bora na salama wakati wote.