У нас вы можете посмотреть бесплатно SERIKALI YASIKIA KILIO CHA MAFIA NA KUTATUA KERO ZAO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Katika kuendelea kuboresha utoaji wa huduma za vivuko kote Nchini, Serikali kupitia TEMESA imeanza kutekeleza mradi wa ujenzi wa kivuko kipya kitakachokwenda kutoa huduma kati ya Mafia na Nyamisati ili kukiongezea nguvu kivuko MV. KILINDONI ambacho kinatoa huduma eneo hilo. Hapa, Mkazi wa Mafia Mkoani Pwani Ndg. Ramadhan Sefu Jalala maarufu kama Mzula anatoa shukran zake za dhati kwa Serikali kwa kuendelea kuboresha utoaji wa huduma za kivuko eneo hilo ambalo hapo awali wakazi hao walikuwa wakitegemea majahazi kwa ajili ya kusafirisha mizigo yao ikiwemo magari. Serikali imesikia kilio chao na inaenda kutatua kero hiyo.