У нас вы можете посмотреть бесплатно KADA WA CCM MAGU AMCHAMBUA MBUNGE KISWAGA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kada wa Chama mapinduzi Wilaya ya Magu, Dotto Ernest Ngollyo mkazi wa kijiji cha Nyang'hanga kata ya Sukuma amejitokeza hadharani kumchanbua Mbunge wa Jimbo Magu Mhe. Boniventura Destery Kiswaga. Ngollyo amesema kuwa Kiswaga ni mbunge mbunifu na mchapakazi ambaye kwa kipindi cha uwakilishi wake amewezesha miradi mingi kutekelezwa katika nyanja mbalimbali. Ngollyo ameenda mbali zaidi na kusema jimbo la Magu bado limahitaji Mhe. Kiswaga aendelee kuwa mwakilishi na mtetezi wa maendeleo ya jimbo hilo kutokana na utendaji wake kwa jamii hasa kukuza mahusiano na wananchi kupitia kampeni yake ya maendeleo inayoratibiwa na jukwaa la maendeleo ya jimbo maarufu kwa jina la KISWAGA KIJIJI KWA KIJIJI. UTU NA KAZI = TUNASONGA MBELE. TUNTUME HANGI = KISWAGA ATOSHIJE