У нас вы можете посмотреть бесплатно Balozi Liberata Mulamula: Chanzo cha Mgogoro wa Congo (Part 1) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Akizungumza katika mjadala ulioandaliwa na taasisi ya DUPSA katika chuo kikuu cha Dar es Salaam, leo Februari 08, 2025, Balozi Liberata Mulamula amechambua mambo yanayoisumbua Congo: 1. Ukubwa wa nchi na idadi ya watu 2. Utajiri wa nchi ya Congo na jiographia yake 3.Historia ya kiungozi. Mulamula alikuwa katibu mkuu wa kwanza wa Kongamano la kimataifa la maziwa makuu. Kongamano lililoundwa kwa ajili ya utatuzi wa kudumu wa mgogoro wa Congo. Unaweza kutufuatilia kupitia; TWITTER: / thechanzo INSTAGRAM: / thechanzo FACEBOOK: / thechanzo TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_... Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105 The Chanzo Initiative, 2025 © All Rights Reserved.