У нас вы можете посмотреть бесплатно ADO SHAIBU APINGA SHABIBY NA LUGOLA KUITWA TAKUKURU или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mbunge wa Tunduru Kaskazini Ndugu Ado Shaibu, amesema kitendo cha Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kuwaita Mh. Ahmed Shabiby Mbunge wa Gairo na Mhe. Kangi Lugola Mbunge wa Mwibara kinavunja Ibara ya 100 (1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Kifungu cha 3 cha Sheria ya Kinga, Madaraka na Haki za Bunge ambavyo vinazuia chombo chochote cha dola kuwahoji wabunge kwa masuala ambayo yamejadiliwa Bungeni. Mhe. Ado alimuomba Mhe. Naibu Spika Daniel Sillo, kutoa mwongozo juu ya suala hilo ili kulinda uhuru wa mawazo na majadiliano wa Wabunge, hata hivyo, Mhe.Naibu Spika alikataa hoja ya kutoa mwongozo juu ya suala hilo kwa sababu halijatokea mapema.