У нас вы можете посмотреть бесплатно “MADARAJA YA BIL. 45.6 KAGERA 🚧 WANANCHI WAONDOKANA NA ADHA YA USAFIRI!” или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Serikali kupitia Wakala wa Barabara Nchini – Tanroads – inaendelea na ujenzi wa madaraja matano katika wilaya za Bukoba na Muleba mkoa wa Kagera, kwa gharama ya shilingi bilioni 45.6, lengo ikiwa ni kuwaondolea wananchi adha ya usafiri na usafirishaji wa mizigo hasa mazao. Meneja wa Tanroads mkoa wa Kagera mhandisi Samwel Mwambungu, amesema kukamilika kwa madaraja hayo kutainua uchumi wa wananchi wa maeneo hayo na mkoa kwa ujumla. “MADARAJA YA BIL. 45.6 KAGERA 🚧 WANANCHI WAONDOKANA NA ADHA YA USAFIRI!”