У нас вы можете посмотреть бесплатно ADHA YA MAEGESHO DAR KUPATIWA SULUHU | BARABARA ZA DAR ES SALAAM KUTAZAMWA UPYA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bwana Albert Chalamila, amewaagiza viongozi wa wilaya na halmashauri mkoani humo, kutafuta suluhisho la haraka la changamoto ya maegesho ya magari. Agizo hilo limelenga maeneo ya vitega uchumi ambavyo serikali imewekeza, kwa lengo la kuboresha mazingira ya biashara na kuondoa kero zinazowapata wananchi wanapotumia maeneo hayo. Chalamila amesisitiza kuwa kuimarisha usimamizi wa maegesho kutasaidia kuondoa viashiria vya rushwa na adha kwa wamiliki wa magari pindi wanapoegesha vyombo vyao. Hatua hiyo inatarajiwa kuongeza ufanisi katika makusanyo ya mapato ya halmashauri na kuhakikisha usalama wa mali za wananchi katika maeneo makuu ya biashara jijini Dar es Salaam. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA: - Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M - Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV. #ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania #Follow @itvtz @radioonetanzania @capitaldigitaltanzania. Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ; Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3 Twitter : https://bit.ly/2XG7aii Instagram : https://bit.ly/34KItmg