У нас вы можете посмотреть бесплатно RUSHWA YA NGONO | UKWELI MCHUNGU WA HELLEN TULLAH. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
HELLEN TULLAH NDANI YA LOVE NIGHT – SIMULIZI YA MAUMIVU NA MATUMAINI Ndani ya kipindi cha Love Night kinachorushwa kupitia Salamba Redio, tulizungumza na mwanadada jasiri Hellen Tullah aliyefungua moyo wake kuhusu maisha yake ya uchungu na changamoto. Amesimulia: 💔 Kukulia katika familia yenye maumivu, baba mzazi kukataa kuwajibika alipokuwa mdogo yeye na mdogo wake 💔 Maisha magumu aliyopitia akiwa na mama yake aliyepambana kwa kazi ngumu kuwalea 💔 Kukosa ada na kushindwa kuendelea na shule, akalazimika kuanza kazi mapema 💔 Changamoto ya wanaume kumtaka kimwili ili apate nafasi ya kukuza kipaji chake 💔 Mahusiano yaliyomwacha na majuto na maumivu Lakini pamoja na yote… Hellen Tullah bado anasimama, akitoa ujumbe kwa wanawake na vijana wote walioumia: 👉 Usikubali kipaji chako kiuzwe kwa tamaa za mtu. 👉 Maumivu sio mwisho wa maisha, ni mwanzo wa nguvu mpya. 👉 Mwanamke jasiri anaweza kusimama tena hata baada ya kuanguka. 📻 Usikose Love Night – saa 4:00 hadi 5:00 usiku, Salamba Redio