У нас вы можете посмотреть бесплатно MAMA ANNA MKAPA NA FAMILIA YAKE WAZURU BMH, AAHIDI KUWASHIKA MKONO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
DODOMA- MKE wa Muasisi wa Hospitali ya Benjamin Mkapa mkoani Dodoma na Rais wa Awamu ya Tatu, Hayati Benjamin Mkapa, Anna Mkapa pamoja na familia yake leo Februari 10, 2026 amezuru katika hospitali hiyo na kuomba uongozi wa hospitali hiyo kuandaa na kumpatia mchanganuo wa mahitaji ya vifaa kwa ajili ya kukamilisha kitengo kipya cha matibabu ya figo hospitalini hapo ambacho kimefanyiwa upanuzi utakaowezesha kuhudumia wananchi wengi zaidi. Imeandaliwa na Fadhili Akida Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: / spotileo-176. . HabariLeo: / habarileo DailyNews: / dailynewstz INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09