У нас вы можете посмотреть бесплатно VIJANA WA PANGA BOYS KUTOKA DIANI KAUNTI YA KWALE WAJISALIMISHA KWA POLISI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Vijana wa genge la PANGA BOYS katika eneo la Diani kaunti ya Kwale wanejisalimisha kwenye kituo Cha polisi Cha msambweni. Hii ni baada ya kuwahangaisha wakaazi wa eneo hilo Kwa muda mrefu. Vijana hao wamekiri kubadilisha tabia za kihuni na kufuata mwendo wa usawa. Vijana hao wametumia fursa hiyo kuwaomba wakaazi msamaha Kwa kuwahangaisha. Kamanda wa Polisi wa kaunti ndogo ya Msambweni Robinson Lang'at amewahakikishia wakaazi usalama na kuendeleza operesheni ili genge za wahalifu zizidi kujisalimisha. #nairobitrendingnews #news #reels #coast #malindi #trending #mombasa #kilifi