У нас вы можете посмотреть бесплатно MAJI TAKA YAZUA TAHARUKI MAJENGO MOMBASA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wakazi na wafanyabiashara wa Barnley na Msikiti Musa eneo la Majengo gatuzi dogo la Mvita, kaunti ya Mombasa, wamelalamikia hali mbaya ya mazingira inayosababishwa na maji taka yaliyojaa kinyesi yanayopita waziwazi mitaani. Wanasema hali hiyo imeathiri biashara zao na kuhatarisha afya ya wakazi kutokana na uwezekano wa magonjwa hatari ya kuambukiza. Wakazi hao wameilaumu serikali ya kaunti kwa uzembe na ufisadi, wakidai fedha za kuboresha mifumo ya kuondoa ya maji taka zilitolewa lakini hakuna hatua iliyochukuliwa. #mombasa #nairobitrendingnews #news #reels #trending #kilifi #kenya