У нас вы можете посмотреть бесплатно ALICHOKISEMA MKURUGENZI wa TANROADS MBELE ya WATUMISHI KWENYE MKUTANO wa CHAMA... или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
ALICHOKISEMA MKURUGENZI wa TANROADS MBELE ya WATUMISHI KWENYE MKUTANO wa CHAMA... @SIMON MTENGWA - DAR CC; BAKARI MAHUNDU Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala ya Barabara Tanzania (Tanroads), Eng. Mohammed Besta, amesisitiza umuhimu wa kufuata sheria za nchi kwa ujumla pamoja na kanuni na taratibu za chama cha kuweka na kukopa. Besta ameyasema hayo leo katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa chama cha kuweka na kukopa Tanroads Saccos Limited uliofanyika jijini Dar es Salaam, mkutano uliolenga kuwapongeza wanachama kupitia wawakilishi waliohudhuria. Mkutano huo ni wa 12 kwa mwaka na umehudhuriwa na wawakilishi wa wanachama. Umeanza Novemba 29, 2025 na unatarajiwa kufikia tamati Novemba 30, 2025. Aidha, Eng. Besta aliongeza kuwa ifikapo mwaka 2026, chama cha Tanroads Saccos kitatimiza miaka 20 tangu kuanzishwa kwake mwaka 2006. Hivyo, ni fursa ya kuenzi mafanikio yaliyopatikana pamoja na kuimarisha juhudi za kuendelea kutoa huduma bora kwa wanachama. ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx