У нас вы можете посмотреть бесплатно Wakenya watakiwa kufuata njia zinazofaa wanapotafuta ajira ughaibuni или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Waziri wa masuala ya kigeni Musalia Mudavadi amewatahadharisha wakenya dhidi ya kutafuta ajira nje ya nchi bila kufuata njia inazofaa akibaini kuwa baadhi ya ajira hizo huwa ni za kuwatapeli wakenya ambao hujipata pabaya baada ya kusafiri nje ya nchi. Musalia amesisitiza umuhimu wa kuihusisha serikali katika hatua za kutafuta kazi na wanaposafiri ili wahakikishiwe usalama wao watakapokuwa wanafanya kazi nje ya nchi. James Mwangi na taarifa ile