У нас вы можете посмотреть бесплатно Familia moja katika kijiji cha Kusumek eneobunge la Bureti inataka uchunguzi wa mauwaji ya mtoto wao или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Familia moja katika kijiji cha Kusumek eneobunge la Bureti inadai haki kufuatia kifo cha mwana wao katika mazingira yasiyoeleweka. Kwa mujibu wa waliokuwa wakiishi naye, Brian alipokea simu majira ya saa tisa asubuhi ya kuamkia Jumanne, na kisha akaondoka nyumbani na hakurejea tena. Baadaye, mwili wake ulipatikana kando ya barabara. Familia hiyo imepinga ripoti ya polisi iliyoeleza kuwa Brian alifariki kutokana na ajali. Polisi wanasema aligongwa na gari lililokuwa likienda kwa kasi , ilhali familia inasema kuwa majeraha aliyokuwa nayo kwenye mwili wake yanaonyesha kuwa aliuawa. Simu ya marehemu ambayo ilikuwa imepotea lakini baadaye kupatikana, huku polisi wakisema uchunguzi kuhusu kilichotokea bado unaendelea. Brian alikuwa mwanafunzi wa mwaka wa mwisho wa taasisi ya kiufundi ya Belgut .