У нас вы можете посмотреть бесплатно DCEA YAFANYA OPERESHENI MAALUM KATIKA VIJIJI MBALIMBALI WILAYANI SAME или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) inakushirikisha taarifa ya operesheni maalum iliyofanyika katika vijiji vya Marieni na Mhero, Kata ya Chome, Wilaya ya Same, Kilimanjaro (10–16 Februari, 2026). Katika operesheni hiyo, kilo 299.8 za mirungi zimekamatwa, ekari 203 kuteketezwa na watuhumiwa saba kukamatwa kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama. Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) #wapotvonline