У нас вы можете посмотреть бесплатно 3. NJIA ZA KUPOKEA NA KUTUNZA UPONYAJI WAKO - MWL. ISAAC JAVAN - (MORNING GLORY) - KKKT KISASA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Katika somo hili, utajifunza njia mbalimbali za kupokea uponyaji wako toka kwa Mungu. Aina ya uponyaji unaozungumziwa kwenye somo hili, ni uponyaji wa mwili, nafsi, roho, na kila eneo linalogusa maisha yako, kama familia, kazi, biashara, n.k. Hili ni somo muhimu sana kwa sababu maarifa yaliyopo ndani yake yatakusaidia kuvuka kwenye maeneo ambayo ulishindwa kuvuka hapo kabla. Mungu Roho Mtakatifu awe pamoja na wewe unaposikiliza na kujifunza maneno yake ya uzima; na Damu ya YESU ikufunike na kukulinda. Mkaribishe na mtu mwingine ambaye anaweza kunufaika na mafundisho haya. Mungu akubariki na tuzidi kuombeana. Amen! HUDUMA/MAOMBI Simu: +255 745 76 45 72 Email: knowingthekingdom@gmail.com Isaac Javan